Yalinikuta na mimi

Mdau siku nyingine kuwa mjanja,wenzio siku hizi wanakula mpango na watu wa reception,unachukua namba yake ya simu halafu unamwambia nikiingia na totoooz tu wewe bana mlango kwa nje then nitakupigia simu majogoo nikiamka uje ufungue.Siku hizi wazoefu hawalali na funguo za guest ndani kaka!!!!
 
Mdau siku nyingine kuwa mjanja,wenzio siku hizi wanakula mpango na watu wa reception,unachukua namba yake ya simu halafu unamwambia nikiingia na totoooz tu wewe bana mlango kwa nje then nitakupigia simu majogoo nikiamka uje ufungue.Siku hizi wazoefu hawalali na funguo za guest ndani kaka!!!!
Mpwa ni kwamba baada ya hapo sijarudia tena na wala sitarudia tena. Hapo kwenye list kuna na camera yangu ndogo digitali ilibebwa. Kuanzia siku iyo nawaogopa kuliko hatari yoyote duniani, huwa nikizunguka usiku na kuwaona kaka na wadogo zangu wakipatana bei na hao wafanyabiashara nawaonea huruma kweli, kuwakataza pia hawakuelewi, akiwa ndugu yangu wa karibu kwakweli namkataza instantly aachane ni iyo habari. Afadhali ya mimi kuna wengine wao wanapoteza zaidi ya hapo
 
Aibu kwa watu wenye nyazifa za juu serikalini

Halafu tunasema hatujui kwa nini wa TZ masikini??????????

Kiongozi kufikiria ngono kila asubuhi, atawajibika saa ngapi?????
 
rule number one,hakikisha baada ya game unamtimua zake haijalishi ni saa ngapi.
Rule number two,ukiona kuna umuhimu wa kulala naye mpaka asubuhi weka valuables zako counter na kwenye pochi bakiza ujira wake tu ili hata akiiba awe ameiba alichostahili kulipwa.
Kumbukeni maisha yao ni magumu halafu wewe unamuringishia mali zote hizo,lazima azibebe.

Spoken like a true proffessional! Mh.. Haya!
 
mara nyingine kabla hajaingia chumbani unawahi then wallet pamoja na vijisenti unavifunga na ruber band kwenye feni then unaiwasha namba tano full speed...
 
Ukome kwa nini ukanunue maduka ya ucku yanayosubiri wateja wapungue ndo wafungue biashara?hapo PROFIT INAKUWA VERY HIGH KWAKE...dokoooo!
 
ukifuatilia una mke mzuri tu, tena kijana,
mimi mama nasema acha wawalambe tu.
 
Ebana bro sana tuuuu! Moro ni sooooo usipime. Achana na Mahumba sijui wapiwapi kuna chaka kama tatu hivi za ukwehe na hizo ndo akina kaka mkubwa kama huyo jamaa etua aliyepigwa wanapenda kujimix.
Dei moja mi nsha wahi kwenda kusuuza macho yaani ni nouumar madu wa Dar ndo wamejigundulia hapo.
kwa leo nawapa chaka moja tu (Jina lake linaanzia na jina la wilaya flani hivi ya moja kati ya mikoa ya Kaskazini)
 
Back
Top Bottom