mgeni10 JF-Expert Member Nov 29, 2010 1,109 369 Dec 9, 2013 #4 Inawezekana kabisa, suala hapo ni Timing tu
HERITAGE Senior Member Jul 12, 2012 109 51 Dec 9, 2013 #5 Wamefanana kiasi fulani ndo maana mmoja alirelax akijua ni mwenzake kumbe lah anawindwa, Inawezekana.
Wamefanana kiasi fulani ndo maana mmoja alirelax akijua ni mwenzake kumbe lah anawindwa, Inawezekana.
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,205 18,475 Dec 9, 2013 #6 hii njama ikiuma chochote twende...
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,503 86,053 Dec 9, 2013 #7 Hahaaaaaa kwa sisi WA fasihi tunasema hio ni CDM na CCM. hapo naona CCM kaliwa timing na CDM huko Arusha
Hahaaaaaa kwa sisi WA fasihi tunasema hio ni CDM na CCM. hapo naona CCM kaliwa timing na CDM huko Arusha
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Dec 11, 2013 #8 Elli said: Hahaaaaaa kwa sisi WA fasihi tunasema hio ni CDM na CCM. hapo naona CCM kaliwa timing na CDM huko Arusha Click to expand... Kweli kabisa
Elli said: Hahaaaaaa kwa sisi WA fasihi tunasema hio ni CDM na CCM. hapo naona CCM kaliwa timing na CDM huko Arusha Click to expand... Kweli kabisa
Gwangambo JF-Expert Member Jun 30, 2012 3,638 1,207 Dec 11, 2013 #9 Elli said: Hahaaaaaa kwa sisi WA fasihi tunasema hio ni CDM na CCM. hapo naona CCM kaliwa timing na CDM huko Arusha Click to expand... No ni jinsi CCM walivyowakaba CDM kipindi hiki.
Elli said: Hahaaaaaa kwa sisi WA fasihi tunasema hio ni CDM na CCM. hapo naona CCM kaliwa timing na CDM huko Arusha Click to expand... No ni jinsi CCM walivyowakaba CDM kipindi hiki.
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,638 4,522 Dec 11, 2013 #10 MziziMkavu said: Click to expand... Kaka Mzizi huyu ni Jaguar akimkamata Cayman mtoto, lakini Cayman aliyekua na kukomaa Jaguar hata afanyeje hamuwezi maana anaweza kufikia hata mara tatu ya uzito wake...
MziziMkavu said: Click to expand... Kaka Mzizi huyu ni Jaguar akimkamata Cayman mtoto, lakini Cayman aliyekua na kukomaa Jaguar hata afanyeje hamuwezi maana anaweza kufikia hata mara tatu ya uzito wake...