Yale mamilioni ya dola ya kuonyesha nia njema ya Barrick yameishia wapi?

Mkuu umesahau ndege yetu iliyozuiliwa Canada.....Waziri Mkuu alienda lakini karudi kinyemela sasa hivi anapamba na "bodi ya korosho" na semi-trailer zilizopo bandarini.
 
Ulitaka hayo mabilioni yawekwe kwenye akaunti yako?
 
kama ulitaka taarifa kamili ungeuliza sehemu inayostahili. Kwani wadau wa JF ndo walikuahidi? kamuulize aliyesema. Huo ni unafiki na umbeya. We si mtoto wa kiume? sa mbona unakuwa na unafiki wa kike?
 
Wew ni mchochezi na si mzarendo hata kidogo badilik Kuwa mzarendo wa ukweli
 
Mkuu acha uchochezi mbona we sio mzalendo hawamu ya Tano inataka wazalendo ata yale makinikia yaliyojaa kwenye makontena nitarudi bandarini na kujifanya sijui mwenyenayo huku nikiwa na camera na waandishi wa habari kama zile gari na vichwa vya treni
 
Ulitaka hayo mabilioni yawekwe kwenye akaunti yako?
Tulitangaziwa hadharani kuwa yanakuja tuna haki ya kuhoji kama yamekuja! Kama ni siri kwa nini walitutangazia hadharani! Kama mliingizwa mkenge kwenye mazungumzo msione haya kusema! Kuna dalili zote za kuingizwa mjini hapa!
 
kama ulitaka taarifa kamili ungeuliza sehemu inayostahili. Kwani wadau wa JF ndo walikuahidi? kamuulize aliyesema. Huo ni unafiki na umbeya. We si mtoto wa kiume? sa mbona unakuwa na unafiki wa kike?
Hii ni social media kwa taarifa yako! Kila mmoja hupita hapa wakiwemo washiriki wa mazungumzo ya makinikia! Na hayo mamilioni ya nia njema yalianikwa hapa pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…