Mkuu zile krosi mbili ulizonipigia zimekabwa zote?? Sikuzitmia, nilikua nasubiri fair play yangu ya mwez iishe
shaffin ni pm mkuu hizo tende
Boss Paje niweke sawa mdogo wako maisha yamezidi kuwa magumu Than ever before, hapa mnazungumzia ule usafiri wa mabasi au hizo sukari guru ili tujichanganyebaadhi ya vipuri vya mabasi vimelika na kuregea. basi GURU amerudisha heshima yake....... this time.... itakuwa too much kimyaaa
Tende zimeisha kuna alua tu so kahawa iwepo!!
Check PM kamandda
karibudah atimae kimeeleweka baada ya kuwa gizani mda mrefu,nimejaribu kupitia zile za nyuma sasa nimeona mwanga big up guyz, waacheni haters wang'ae sharubu
shaffin simbamwene nipm nami hizo za zamani nilitumia kidogo japo proxy zikawa zzimezingua na hamu ya kushusha madude ya piratebay kwa wingi.msinisahau nami iwe tende,halua hata kashata natumia.
dah wazee mm tu ndo pm zangu hazijibiwi wote watanzania jamani
huu uzi ushaharibika, tayari wasiohusika washaingia na wameshajua kinachojiri mwanzo mwisho, ni kama mnaamsha hao jamaa wazibe