Yale madude yetu yapo hewani

haha I'd rather kill me self than do that, although i didn't literally mean dark as in mgao. I meant sielewi what's going on here 😉 😉
Sidhani kama u mgeni kihivyo maana wewe ni GURU humu jamvini.
 
Sidhani kama u mgeni kihivyo maana wewe ni GURU humu jamvini.

yeah, ila wadau walibana all ways aisee afu by the way kuna page yao moja(nyingine tofaut na hii inayo2mika now 4 d hack) inapossibility ya ku work. I'll try 2 work out leo which gives out best performance and give out the findings. Shhh i never said anything
 
Shaffin Simbamwene nilikutupia PM lakini kimya. au na mie nimekaa kigenie genie? haha
 
Last edited by a moderator:
Kweli hilo jingine chenga tupu wanajua kulitumia wale tu ambao wanachagua mabasi hawana uwezo wa kupanda lolote ila

hilo la kwanza ni funga kazi,juzi nilishtuka kweli sikulikuta kituoni kumbe lipo wamehamisha tu kituo lol!..

mkuu kuna mabasi mawili ya nafanana ila moja lina nauri kidogo ambalo lilileta hitilafu siku mbilitatu but now safari kama kawa but bus jingine mie wala sijawahi litumia.
 
duh hapa nimeachwa japo kifu kinaonekana kitamu
 
haha I'd rather kill me self than do that, although i didn't literally mean dark as in mgao. I meant sielewi what's going on here 😉 😉

am aware of that dude! Tafta njia upate mwanga
 
baadhi ya vipuri vya mabasi vimelika na kuregea. basi GURU amerudisha heshima yake....... this time.... itakuwa too much kimyaaa

Hilo basi la GR kaka nilishindwa mwenyewe mpaka kesho, lakini kama vp nikutafute tena!
 
Kweli mkuu.. Pia ofer za usiku na bundle za bei chee ziliwasahaulisha watu hiz kitu

Hapo mkuu sasa umeongea lugha ya wazi mno, watasitisha safari hawa wenye mabasi, ih!
 
lakin wadau is it just me au ka speed kako a little low. Youtube kidogo i must say ukiload video ni balaa, ila surfing kwangu its a bit slow
 
haa wewe mwana noma. hiyo ni kwa watu wanaokesha usiku, mtu na heshima zako usubiri hadi usiku?? uwache mambo fulani. haya mambo ya bure huingii web za https. wala huwezi kudownload.
guru ni cheap as little as 300shs per day.
ila kwa watoto wasio na kazi za usiku wanaweza kuona gaali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…