Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi

Njiwa nimefuga sana na aina ya Njiwa mimaowapenda

1 White

2 Manga

3 Fungo

4 Adidas

5 Tizeti

6 Chotara
 
Naomba kufahamu njiwa wanafaa kabisa kula kama kitoweo au wanafugwa kama mapambo tu?
 
Zinakusaidia nn njiwa kufuga mkuu??🤔🤔.au mie siko sawa...!ndo nyie mnaofuga mende ati wana soko😅..mbona kuna mambo mengi ya kifanya jaman😅😅
FaizaFoxy kanihamasisha kufuga, manake kasema nyama yao tamu balaa!!! Yaani tayari nishaanza kujenga picha kichwani jinsi nitakavyokuwa nakula njiwa za kuchoma kila Jmosi na Jpili!
 
Chai imezidi sana

Nimefuga njiwa kwa miaka Chief

Ila si kwa masharti haya
 
Mi naombeni njia za kuwatimua tuu,wamehamia kwangu na wamezaliana mnoo,kila siku wanadondosha ceilling board za kuzunguka nyumba,nawatwanga manati ila ndio kama nimewaongezea kasi ya kuzaliana...
plus kuchafua kuta kwa kinyesi kama popo
 
Eh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…