Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na Hatimaye Mgombea wa CCM!


Makundi hayo ni

  1. The Top Ten Most Powerful wanao command much powers.
  2. The Top Ten Most Prominent kutokana na positions zao
  3. The Top Ten Most Respected kutoka na Utendaji uliotukuka na Usio na Mawaa
  4. The Top Ten Zanzibar Factor
  5. The Top Ten Gender Factor
  6. The Top Ten Presidential Materials
  7. The Top Ten Most Popular who can make a populist president
  8. The Top Ten who can make the worst dictators
  9. The Top Ten Walioupania sana urais.
  10. The Top Ten Waliotangaza nia ili kujitambulisha tuu wapo ili angalau nao wakumbukwe
Kwenye makundi haya pia yapo makundi ya
  1. Top Ten waliotangaza nia ili kujifurahisha tuu, sio presidential material na urais hawauwezi!
  2. Top Ten wasindikiza tuu, wametangaza nia ili kusindikiza watu tuu
  3. Top Ten ya jokers, hawa ni waliotangaza nia ku joke tuu lakini hawana seriousness yoyote na urais
  4. Top Ten ya zilipendwa, hawa ni watangaza nia walioshastaafu, wamechoka mwili, mawazo hadi akili.
  5. Top ten ya Madekio, Madodoki na Vichinjio (Ref: Utitiri wa watangaza nia CCM,)
Makundi haya matano ya mwisho, sitawataja majina


Kundi la 1: The Top Ten Most Powerful wanao command much powers.


  1. Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
  2. Mhe. Bernard Kamilius Membe
  3. Mhe. Mizengo Kayanda Pinda
  4. Mhe. Dr. John Pombe Magufuli
  5. Mhe. Prof. Mark Mwandosya
  6. Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
  7. Mhe. Samwel John Sitta
  8. Mhe. Dr. Mohamed Gharib Bilal
  9. Mhe. Dr Asharose Migiro
  10. Judg. Augustine Ramadhani

Kundi la 2: The Top Ten Most Prominent kutokana na positions zao za sasa na previous

  1. Mhe. Dr. Mohamed Gharib Bilal
  2. Mhe. Mizengo Kayanda Pinda
  3. Mhe. Bernard Kamilius Membe
  4. Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
  5. Fredrick Tluway Sumaye
  6. Mhe. Dr Asharose Migiro
  7. Judg. Augustine Ramadhani
  8. Mhe. Prof. Mark Mwandosya
  9. Mhe. Samwel John Sitta
  10. Mhe. John Pombe Magufuli
Kundi la 3: The Top Ten Most Respected kutokana na Utendaji uliotukuka na Usio na Mawaa

  1. Mhe. Dr. Mohamed Gharib Bilal
  2. Mhe. Mizengo Kayanda Pinda
  3. Fredrick Tluway Sumaye
  4. Judg. Augustine Ramadhani
  5. Dr. Augustine Philip Mahiga
  6. Mhe. Bernard Kamilius Membe
  7. Mhe. Prof. Mark Mwandosya
  8. Mhe. Samwel John Sitta
  9. Mhe. John Pombe Magufuli
  10. Jaji Agustino Ramdhani.
Kundi la 4: The Top Ten Zanzibar Factor

  1. Mhe. Dr. Mohamed Gharib Bilal
  2. Judg. Augustine Ramadhani
  3. Balozi Amina Salum Ali
  4. Balozi Ali Karume
Kundi la 5: The Top Ten Gender Factor

  1. Mhe. Dr Asharose Migiro
  2. Balozi Amina Salum Ali
  3. Monica Ngenzi Mbega

Hayo ndio makundi determinant ya top 5 ya Mgombea Urais wa CCM.

Kundi la 6:
The Top Ten Presidential Materials
Ila pia sio vibaya ukawajua the top ten presidential materials who can make the best president, this county can have. Hii maana yake atakayeteuliwa na CCM sio lazima awe the best presidential materials

  1. Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
  2. Judg. Augustine Ramadhani
  3. Dr. Augustine Philip Mahiga
  4. Mhe. Prof. Mark Mwandosya
  5. Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
  6. Mhe. John Pombe Magufuli
  7. Mhe. January Yusufu Makamba
  8. Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba
  9. Dr. Hassy Besen Kitine
  10. Dr. Mwelecele Ntuli Malecela
Kundi la 7: The Top Ten Most Popular who can make a populist president

  1. Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
  2. Mhe. Bernard Kamilius Membe
  3. Mhe. John Pombe Magufuli
  4. Mhe. January Yusufu Makamba
  5. Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba
  6. Mhe. Lazaro Samuel Nyalandu
  7. Mhe. Dr. Hamisi Andrea Kigwangala
  8. Mhe. Charles Makongoro Nyerere
  9. Balozi Ali Karume
  10. Dr Muzzamil Mussa Kalokola
Kundi la 8: The Top Ten who can make the worst dictators

  1. Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
  2. Mhe. John Pombe Magufuli
  3. Hassy Besen Kitine
  4. Balozi Ali Karume
  5. Dr. Augustine Philip Mahiga
  6. Mhe. Titus Mlengela Kamani
  7. Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba
  8. Mhe. Stephen Masatu Wassira
  9. Mhe. Samwel John Sitta
  10. Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
Kundi la 9: The Top Ten Walioupania sana urais


    1. Mhe. Bernard Kamilius Membe
    2. Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
    3. Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba
    4. Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
    5. Mhe. Samwel John Sitta
    6. Mhe. January Yusufu Makamba
    7. Mhe. Stephen Masatu Wassira
    8. Fredrick Tluway Sumaye
    9. Mhe. Charles Makongoro Nyerere
    10. Balozi Ali Karume
    Kundi la 10:The Top Ten Waliotangaza nia ili kujitambulisha tuu wapo ili angalau nao wakumbukwe

  1. Hassy Besen Kitine
  2. Dr. Mwelecele Ntuli Malecela
  3. Dr Muzzamil Mussa Kalokola
  4. Amos Robert Siyatemi
  5. Musa Godwin Mwapango
  6. Peter Isaiah Nyalali
  7. Boniface Thomas Ndengo
  8. Maliki Salum Marupu
  9. Leonce Nicholas Mulenda
  10. Lidephonce M Biloha
Pasco

2. UPDATE 01:20

Hatimaye 5 Bora imejulikana, ni:

1) Bernard Membe 2) John Magufuli 3) Asha Rose Migiro 4) January Makamba 5) Amina S. Ali

View attachment 267181

Kwa listi hii, upepo sasa unavumia jina la John Pombe Magufuli!.

Kati ya Makundi hayo kumi, Jina la John Pombe Magufuli, ndilo lililoongoza, limetokea mara 6!.

Pasco.
 
Pasco aatashinda tu kama atafika top 3
usisahau Kikwete ana turufu yake katika top 5
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,


Makundi hayo ni

  1. The Top Ten Most Powerful wanao command much powers.-John Pombe Magufuli yumo!.
  2. The Top Ten Most Prominent kutokana na positions zao-John Pombe Magufuli yumo!.
  3. The Top Ten Most Respected na Utendaji uliotukuka -John Pombe Magufuli yumo!.
  4. The Top Ten Zanzibar Factor
  5. The Top Ten Gender Factor
  6. The Top Ten Presidential Materials-John Pombe Magufuli yumo!.
  7. The Top Ten Most Popular who can make a populist president-John Pombe Magufuli yumo!.
  8. The Top Ten who can make the worst dictators-John Pombe Magufuli yumo!.
  9. The Top Ten Walioupania sana urais.
  10. The Top Ten Waliotangaza nia ili kujitambulisha tuu wapo ili angalau nao wakumbukwe
Pasco
John Pombe Magufuli yumo yumo kwenye makundi 6 kati ya 8 hivyo probability yake ni kubwa sana!. Tusubiri kutangaziwa rasmi!.
Pasco

 
Asante Pasco kwa uchambuzi wako murua. Kwa maoni yangu tunamtaka mmoja anaefiti kwenye group no 6 na 8. Ila tu awe wise dictator. Prof Muhongo
JPM amefiti kote ni presidential material na pia ni dictator ambaye atainyoosha nchi hii iliyopinda pinda!. Nchi hii inahitaji benevolent dictator.

Pasco
 
Pasco Nimegundua hii trend CCM naona hakuna aliewahi kuizungumza

Rais wa CCM huwa anashindwa kuweka chaguo lake kumrithi
lakini huja kupata chaguo lake baada ya mrithi kumaliza mda wake
tazama.....Mkapa alikua chaguo la Nyerere
Kikwete alikua chaguo la Mwinyi
now Magufuli tunaweza sema ni chaguo la Mkapa.....
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Watia nia wa CCM naomba tuwagawe kwenye makundi ambapo ni determinant, na kundi la the worst dictators, then mnaweza kujua kwa nini watu wazuri tuu lakini hawatachaguliwi!.

  1. The Top Ten who can make the worst dictators
Kundi la 8: The Top Ten who can make the worst dictators

  1. Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
  2. Mhe. John Pombe Magufuli
  3. Hassy Besen Kitine
  4. Balozi Ali Karume
  5. Dr. Augustine Philip Mahiga
  6. Mhe. Titus Mlengela Kamani
  7. Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba
  8. Mhe. Stephen Masatu Wassira
  9. Mhe. Samwel John Sitta
  10. Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
Pasco


JPM amefiti kote ni presidential material na pia ni dictator ambaye atainyoosha nchi hii iliyopinda pinda!. Nchi hii inahitaji benevolent dictator.

Pasco

Hilo la worst dictator lisije kuwarudia watu

Huyu jamaa akipita na ikitokea aka
wa ni just a benevolent dictator, then it is very fine kwa sababu atatusaidia sana, ila pia dictator ni dictator tuu, anaweza kuwa a benevolent dictator, au pia anaweza kuwa a cruel type of a dictator kama alivyokua Hitler!, ikitokea akawa ni wa the Hitler type, hawa waimba "sasa kazi tuu" wataona kazi kweli kweli na siku zote majuto huwa ni mjukuu!.

Nalisema hili mapema ili wenye kumbukumbu waliingize kwenye kumbukumbu zao kabla halijatokea, ili likija kutokea, tuwe tumeyataka wenyewe!.

Pasco
 
Majina saba yanayoumiza vichwa kamati kuu ya CCM
1) Augustino Ramadhan
2) John Magufuli
3)Mizengo Pinda
4)January Makamba
5)Benard Membe
6)Makongoro Nyerere
7)Mark Mwandosya

TOP FIVE ITATOKA HAPO ILA SHIDA NI HAO WAWILI WA KUTOA! NANI ATOKE?
Hayo mengine ni predictions zako mkuu ila list ni hiyo hapo!

CC Pasco

Hapa ndio mwanzo wa ile safari ni ndefu sana ya kwenda ahera - CCM 2015
 
Pasco Nimegundua hii trend CCM naona hakuna aliewahi kuizungumza

Rais wa CCM huwa anashindwa kuweka chaguo lake kumrithi
lakini huja kupata chaguo lake baada ya mrithi kumaliza mda wake
tazama.....Mkapa alikua chaguo la Nyerere
Kikwete alikua chaguo la Mwinyi
now Magufuli tunaweza sema ni chaguo la Mkapa.....

Hii imewa-cost uhai wa chama. Walizoea mazoea. Nchi hii tena siyo ya siasa za mazoea. It is too late. "You can not eat your cake and have it" Wacha wafe wazikane. Haituhusu tena na mazoea sasa mwisho. Kampeni itakuwa ngumu kweli kweli kwao. Fedha tu si mtaji wa kampeni, hata hadhira ni muhimu sana. Maswali pia waulizwe ili waone fikra za watanzania wa leo je ni sawa na fikra za mika 10 iliyopita? Tunahitaji liberation kutoka kwa hawa wakoloni weusi ambao wamekuja kuwa wabaya kuliko wale weupe. Hawajali wala hawaambiliki. Maendeleo yao binafsi kwanza kisha chama mwisho kabisa watanzania.
 

Makundi hayo ni

  1. The Top Ten Most Popular who can make a populist president
  2. The Top Ten who can make the worst dictators
Kundi la 7: The Top Ten Most Popular who can make a populist president

  1. Mhe. John Pombe Magufuli
Kundi la 8: The Top Ten who can make the worst dictators

  1. Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
  2. Mhe. John Pombe Magufuli
Pasco
[/QUOTE]
Najikumbusha tuu!.
P.
 
Back
Top Bottom