Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na Hatimaye Mgombea wa CCM!

Mhe John Magufuli ameonyesha dhahiri kuwa mtu asiye zingatia haki za binadamu, asiyekuwa na huruma na wananchi hususan wananchi maskini na wanyonge. Kwa hali

Kila mara dunia inapotaka kuwaweka madarakani watu wenye silika za kutozingatia haki za binadamu tunapaswa kukumbuka kuwa hata Dikteta anayeongoza hap duniani Adolph Hitler wa Ujerumani aliingia madarakani kupitia sanduku la kura, na hatimaye watu milioni 50 duniani walipoteza maisha..
Hili tuliliona zamani,
P.

Makundi hayo ni

  1. The Top Ten Most Popular who can make a populist president
  2. The Top Ten who can make the worst dictators
Kundi la 7: The Top Ten Most Popular who can make a populist president

  1. Mhe. John Pombe Magufuli
Kundi la 8: The Top Ten who can make the worst dictators

  1. Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
  2. Mhe. John Pombe Magufuli
Pasco
[/QUOTE]
Najikumbusha tuu!.
P.
 

Najikumbusha tuu!.

Pasco

We need that, nchi yetu ina watu wavivu kupindukia, atleast he will straighten us to be hard working citizens.

Baada ya hapo ni boom kiuchumi.
We need him for just five years only.
 
Kundi la 6 Presidential materials.

Mkuu Pasco tutendee haki wanajamvi hivi kweli unaweza kumweka Lowassa kundi hill ?.
Huyu ni mfanyabiashara anayetaka Ikulu ili afanikishe biashara zake ziendelee kunona.Katika kundi hili pia umemweka January na Muhongo !.imebdi nishangae kidogo nakosa maelezo sahihi lakini nikuulize swali hivi January kama Baba yake asingekuwa Katibu mkuu wa CCM angefika hapo alipofika ?.

Hivi wewe ni CCM au UKAWA??
 
Last edited by a moderator:
JPM amefiti kote ni presidential material na pia ni dictator ambaye atainyoosha nchi hii iliyopinda pinda!. Nchi hii inahitaji benevolent dictator.

Pasco

Mbona kuna huzi wako wajana umeanza kumpinga,ukitaka aache kutoa amri ,afuate taratibu..au
 
[/SIZE]
Huyu jamaa akipita na ikitokea aka[/SIZE]wa ni just a benevolent dictator, then it is very fine kwa sababu atatusaidia sana, ila pia dictator ni dictator tuu, anaweza kuwa a benevolent dictator, au pia anaweza kuwa a cruel type of a dictator kama alivyokua Hitler!, ikitokea akawa ni wa the Hitler type, hawa waimba "sasa kazi tuu" wataona kazi kweli kweli na siku zote majuto huwa ni mjukuu!.

Nalisema hili mapema ili wenye kumbukumbu waliingize kwenye kumbukumbu zao kabla halijatokea, ili likija kutokea, tuwe tumeyataka wenyewe!.

Pasco

Gari imeshachanganya mkuu
 




Huyu jamaa akipita na ikitokea akawa ni just a benevolent dictator, then it is very fine kwa sababu atatusaidia sana, ila pia dictator ni dictator tuu, anaweza kuwa a benevolent dictator, au pia anaweza kuwa a cruel type of a dictator kama alivyokua Hitler!, ikitokea akawa ni wa the Hitler type, hawa waimba "sasa kazi tuu" wataona kazi kweli kweli na siku zote majuto huwa ni mjukuu!.

Nalisema hili mapema ili wenye kumbukumbu waliingize kwenye kumbukumbu zao kabla halijatokea, ili likija kutokea, tuwe tumeyataka wenyewe!.

Pasco

Kuna watu ambao hamkuwahi kuwaza kimakosa...wakati mwingine huwa naacha kuchukulia maanani ila kutopuuza hadi pale litakapotimia ama kutotimia lile mlilowaza...nakuheshimu sana #Pasco# Nilikuwa natafakari tu hapa!
 
Nafanya tuu mapitio kuhusu dhana ya udikiteta, kwa muktadha wa lini watu walianza kuwazungumza humu kuwa kuna watu wana dalili ya udikiteta.
P.
 
Wanabodi,

Watia nia wa CCM wamefikia 34, naomba tuwagawe kwenye makundi 10 ya Top Ten, ambapo makundi matano ya mwanzo ni determinant .Wagombea watakaojirudia rudia kwenye listi 5 za mwanzo, ndio zitatoa 5 bora watakaoingia kwenye 5 bora, watakaotoa 3 bora na hatimaye Mgombea wa CCM.

Makundi matano ya pili ni infor pack tuu sio determinant but pasuasive mfano kwenye kundi la most popula ndio electability yenyewe na kundi la the worst dictators, then mnaweza kujua kwa nini watu wazuri tuu lakini hawatachaguliwa!.

Makundi hayo ni

  1. The Top Ten Most Powerful wanao command much powers.
  2. The Top Ten Most Prominent kutokana na positions zao
  3. The Top Ten Most Respected kutoka na Utendaji uliotukuka na Usio na Mawaa
  4. The Top Ten Zanzibar Factor
  5. The Top Ten Gender Factor
  6. The Top Ten Presidential Materials
  7. The Top Ten Most Popular who can make a populist president
  8. The Top Ten who can make the worst dictators
  9. The Top Ten Walioupania sana urais.
  10. The Top Ten Waliotangaza nia ili kujitambulisha tuu wapo ili angalau nao wakumbukwe
Kwenye makundi haya pia yapo makundi ya
  1. Top Ten waliotangaza nia ili kujifurahisha tuu, sio presidential material na urais hawauwezi!
  2. Top Ten wasindikiza tuu, wametangaza nia ili kusindikiza watu tuu
  3. Top Ten ya jokers, hawa ni waliotangaza nia ku joke tuu lakini hawana seriousness yoyote na urais
  4. Top Ten ya zilipendwa, hawa ni watangaza nia walioshastaafu, wamechoka mwili, mawazo hadi akili.
  5. Top ten ya Madekio, Madodoki na Vichinjio (Ref: Utitiri wa watangaza nia CCM,)
Makundi haya matano ya mwisho, sitawataja majina

Watangaza Nia Wote ni Hawa



    • Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
    • Mhe. Dr. Mohamed Gharib Bilal
    • Mhe. Mizengo Kayanda Pinda
    • Mhe. Dr Asharose Migiro
    • Judg. Augustine Ramadhani
    • Dr. Augustine Philip Mahiga
    • Mhe. Bernard Kamilius Membe
    • Mhe. Prof. Mark Mwandosya
    • Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
    • Mhe. Samwel John Sitta
    • Mhe. John Pombe Magufuli
    • Mhe. January Yusufu Makamba
    • Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba
    • Mhe. Stephen Masatu Wassira
    • Mhe. Lazaro Samuel Nyalandu
    • Mhe. Mathias M Chikawe
    • Mhe. Titus Mlengela Kamani
    • Mhe. Dr. Hamisi Andrea Kigwangala
    • Fredrick Tluway Sumaye
    • Hassy Besen Kitine
    • Mhe. Luhaga Joelson Mpina
    • Mhe. Charles Makongoro Nyerere
    • Balozi Amina Salum Ali
    • Balozi Ali Karume
    • Dr. Mwelecele Ntuli Malecela
    • Dr Muzzamil Mussa Kalokola
    • Monica Ngenzi Mbega
    • Amos Robert Siyatemi
    • Musa Godwin Mwapango
    • Peter Isaiah Nyalali
    • Boniface Thomas Ndengo
    • Maliki Salum Marupu
    • Leonce Nicholas Mulenda
    • Lidephonce M Bilohe
Kundi la 1: The Top Ten Most Powerful wanao command much powers.



    • Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
    • Mhe. Bernard Kamilius Membe
    • Mhe. Mizengo Kayanda Pinda
    • Mhe. Dr. John Pombe Magufuli

      [*]Mhe. Prof. Mark Mwandosya

      [*]Mhe. Prof. Sospeter Muhongo

      [*]Mhe. Samwel John Sitta

      [*]Mhe. Dr. Mohamed Gharib Bilal
      [*]Mhe. Dr Asharose Migiro
      [*]Judg. Augustine Ramadhani
Kundi la 2: The Top Ten Most Prominent kutokana na positions zao za sasa na previous



    • Mhe. Dr. Mohamed Gharib Bilal
    • Mhe. Mizengo Kayanda Pinda
    • Mhe. Bernard Kamilius Membe
    • Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
    • Fredrick Tluway Sumaye
    • Mhe. Dr Asharose Migiro
    • Judg. Augustine Ramadhani
    • Mhe. Prof. Mark Mwandosya
    • Mhe. Samwel John Sitta
    • Mhe. John Pombe Magufuli
Kundi la 3: The Top Ten Most Respected kutokana na Utendaji uliotukuka na Usio na Mawaa



    • Mhe. Dr. Mohamed Gharib Bilal
    • Mhe. Mizengo Kayanda Pinda
    • Fredrick Tluway Sumaye
    • Judg. Augustine Ramadhani
    • Dr. Augustine Philip Mahiga
    • Mhe. Bernard Kamilius Membe
    • Mhe. Prof. Mark Mwandosya
    • Mhe. Samwel John Sitta
    • Mhe. John Pombe Magufuli
Kundi la 4: The Top Ten Zanzibar Factor
  1. Mhe. Dr. Mohamed Gharib Bilal
  2. Judg. Augustine Ramadhani
  3. Balozi Amina Salum Ali
  4. Balozi Ali Karume
Kundi la 5: The Top Ten Gender Factor
  1. Mhe. Dr Asharose Migiro
  2. Balozi Amina Salum Ali
  3. Monica Ngenzi Mbega
Hayo ndio makundi determinant ya top 5 ya Mgombea Urais wa CCM.

Kundi la 6:The Top Ten Presidential Materials
Ila pia sio vibaya ukawajua the top ten presidential materials who can make the best president, this county can have. Hii maana yake atakayeteuliwa na CCM sio lazima awe the best presidential materials



    • Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
    • Judg. Augustine Ramadhani
    • Dr. Augustine Philip Mahiga
    • Mhe. Prof. Mark Mwandosya
    • Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
    • Mhe. John Pombe Magufuli
    • Mhe. January Yusufu Makamba
    • Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba
    • Dr. Hassy Besen Kitine
    • Dr. Mwelecele Ntuli Malecela
Kundi la 7: The Top Ten Most Popular who can make a populist president



    • Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
    • Mhe. Bernard Kamilius Membe
    • Mhe. John Pombe Magufuli
    • Mhe. January Yusufu Makamba
    • Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba
    • Mhe. Lazaro Samuel Nyalandu
    • Mhe. Dr. Hamisi Andrea Kigwangala
    • Mhe. Charles Makongoro Nyerere
    • Balozi Ali Karume
    • Dr Muzzamil Mussa Kalokola
Kundi la 8: The Top Ten who can make the worst dictators



    • Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
    • Mhe. John Pombe Magufuli
    • Hassy Besen Kitine
    • Balozi Ali Karume
    • Dr. Augustine Philip Mahiga
    • Mhe. Titus Mlengela Kamani
    • Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba
    • Mhe. Stephen Masatu Wassira
    • Mhe. Samwel John Sitta
    • Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
Kundi la 9: The Top Ten Walioupania sana urais

    1. Mhe. Bernard Kamilius Membe
    2. Mhe. Edward Ngoyai Lowasa
    3. Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba
    4. Mhe. Prof. Sospeter Muhongo
    5. Mhe. Samwel John Sitta
    6. Mhe. January Yusufu Makamba
    7. Mhe. Stephen Masatu Wassira
    8. Fredrick Tluway Sumaye
    9. Mhe. Charles Makongoro Nyerere
    10. Balozi Ali Karume
    Kundi la 10:The Top Ten Waliotangaza nia ili kujitambulisha tuu wapo ili angalau nao wakumbukwe
  1. Hassy Besen Kitine
  2. Dr. Mwelecele Ntuli Malecela
  3. Dr Muzzamil Mussa Kalokola
  4. Amos Robert Siyatemi
  5. Musa Godwin Mwapango
  6. Peter Isaiah Nyalali
  7. Boniface Thomas Ndengo
  8. Maliki Salum Marupu
  9. Leonce Nicholas Mulenda
  10. Lidephonce M Biloha
NB. Hii ni list yangu, unaweza kutengeneza list yako, naomba mnisamehe kidogo niko bize kwenye Wiki ya Utumishi wa Umma viwanja vya Mnazi Mmoja, hivyo sitaweza kujibu hoja yoyote!.

Paskali

Atimaye magu aliibuka mshindi
 
Kundi la 6 Presidential materials.

Mkuu Pasco tutendee haki wanajamvi hivi kweli unaweza kumweka Lowassa kundi hill ?.
Huyu ni mfanyabiashara anayetaka Ikulu ili afanikishe biashara zake ziendelee kunona.Katika kundi hili pia umemweka January na Muhongo !.imebdi nishangae kidogo nakosa maelezo sahihi lakini nikuulize swali hivi January kama Baba yake asingekuwa Katibu mkuu wa CCM angefika hapo alipofika ?.
You was right
 



Presidential Material ni sifa na uwezo, wakati ufisadi ni tabia!. Wana jf lazima tufike mahali tutenganishe sifa ambazo ni qualities na tabia ambazo ni human nature!.

Presidential material ni mtu mwenye sifa na uwezo wa urais, lani naweza kuwa na tabia na matendo ya ajabu, ambayo hayamuondolei sifa na uwezo wa urais. Tenganisha sifa na uwezo wa mtu wa kufanya jambo na tabia zake binafsi!.

Mfano kwa wale wa zamani, mtakuwa mnamfahamu Prof. Shaba wa Muhimbili Hospital, he was the best pathologist Tanzania had ever had, but alikuwa ni mlevi!, lakini pamoja na ulevi wake, bado kwenye kazi he was the best!.

Wenzetu wazungu ndio wanao oanisha sifa za uongozi na tabia ya mtu, mfano hata ukiwa na sifa njema na uwezo mkubwa kiasi gani, ukigundulika umekwepa kodi, au umetoka nje ya ndoa, kunakuondolea sifa za uongozi lakini huku kwetu Afrika, uongozi ni uongozi na tabia binafsi za mtu ni tabia, hii ni kitu inayoitwa 'the African Democracy'. Kwa watu wanaojua tabia binafsi za Jacob Zuma na ufisadi wake, umalaya wake, na ulevi wake, wasingeamini kama angeweza kuchaguliwa kuwa rais wa Afrika ya Kusini, tena alivyo mgonjwa wa 'chini', sio mara moja wala mbili, ametamani, akaomba na kukataliwa, anaamua kubaka!. Kwa mila yao ukibaka 'sealed' ukafungua wewe, unalipa 'lobola' unachukua jumla anakuwa mke wako!.

Bill Clinton akiwa rais wa Marekani, alipata 'denda' toka kwa kidemu Monica Lewinsky, kidema kikamuhadithia mwanamke mwingine Linda Tripp kuwa Clinton amekula 'denda' Oval Office!, ilikuwa issue!, hadi Bazaza la Senet likaanza process ya impeachment lakini mkewe Hilary akakomaa kubakia kwenye ndoa, ukiingia madarakani hata ukigombana tuu na mkeo akaomba talaka, uongozi basi!. Ukitembea nje ya ndoa ukajulikana, kazi basi!.

Zimbabwe rais Robert Mugabe, wakati mkewe Sally akiwa yungali hai, alikuwa akichepuka na mfagiaji na mleta chai wa Ikulu, sometimes game likirindima kwenye meza ya Ikulu!, mkewa alipofariki, mhudumu huyo akaolewa na mpaka sasa ndio first lady wa Zimbabwe!.

Jakaya ndie rais wetu, ni presodential material, ana sifa za urais ndio maana yuko ikulu yetu miaka 10 sasa, jee unazijua tabia binafsi za rais?. Officially anajulikana ana watoto 8, kati ya hao, unawajua wa mama Salma ni wangapi?, unawajua hao wengine mama zao ni nani?, jee waliolewa?, jee watoto wake ndio hao tuu?. Mambo yote hayo kwa demokrasia za kiafrika ni tabia binafsi za mtu, have nothing to do with his presidency!.

Kama kwa Lowassa hoja ni ufisadi, wangapi humu wanazijua mbinu za Mtandao wa Kikwete uliotumika kumuingiza madarakani?!, wangapi humu wanaijua Kampuni ya Kagoda ilichota kiasi gani na kilitumikaje?!. Kama hoja aganst Lowassa ni ufisadi wa Richmond tuu, hiyo sio issue, hilo ni zigo la watu, wenye akili zao wote wanajua!. Hivyo kama ni ufisadi, CCM ni chama cha kifisadi systematically, hivyo wato ni mafisadi!.

Kwa maelezo hayo natumaini watu humu mtatenganisa uwezo wa Edward Lowassa at the top of Presidential Material na kutofautisha na tabia zake binafsi za kuuchukia umasikini!.

Kuhusu ufisadi wa Lowassa, mnaweza kosoma hapa
[h=3]Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa[/h]
Ila pia kuna wengi wanadhani tunalazimisha lazima Lowassa awe rais!, no!, mnaweza kusoma hapa!.
[h=3]Edward Lowassa sio lazima yeye tuu ndiye awe Rais wetu[/h]

Pasco.





Ulitumia nguvu nyingi kumtetea EL
 
Back
Top Bottom