hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 596
Naskiaga kuzama chumvin ndo kwenye hayo makalo ya kuanikia chumvi???
Maji ya bahari?,Singida kiule Ziwani kindai,Uvinza Kigoma kote chumvi inapatikana na hakuna bahari..
Thanks, nimepata uelewa mwingine mkubwa zaidi,. Ila pia njia hii ya jua nimeiona hapo. Tupo pamoja.Salt Mining
![]()
Andy Satiriou/Photodisc/Getty Images A salt-refining plant near Murcia, Spain
ANDY SATIRIOU/PHOTODISC/GETTY IMAGES
In 2006, more than 200 million tons of salt were produced in the world. China is the largest producer, with 48 million tons, followed closely by the United States, with 46 million tons [source: Salt Institute]. Salt is generally produced one of three ways: deep-shaft mining, solution mining or solar evaporation.
Deep-shaft mining is much like mining for any other mineral. Typically, the salt exists as deposits in ancient underground seabeds, which became buried through tectonic changes over thousands of years. Many salt mines use the "room and pillar" system of mining. Shafts are sunk down to the floor of the mine, and rooms are carefully constructed by drilling, cutting and blasting between the shafts, creating a checkerboard pattern. After the salt is removed and crushed, a conveyor belt hauls it to the surface. Most salt produced this way is used as rock salt.
Source: How Salt Works
Kuna aina tofauti za chumvi, na kuna aina tofauti za uvunaji pia aina tofauti za mazingira ya upatikanaji.Sio machimbo kama unavyofikiri wewe kwamba kama machimbo ya dhahabu nk. Angalia picha yahuko uvinza, nahayo ndio Makalo niliyoyaongelea, nakote inakozalishwa chumvi kunakuwa namuonekano huo.
View attachment 428336
Tungekuwa hivi, tungejifunza mambo mengi sana,. Tuendeleze hapo Ili ambao hawakuwa nauelewa kabisa nao wazidi kupata somo.Mleta thread hongera sana. Usingeanza jambo hili hata hizo njia zingine tusingezifahamu.
Kwa wale wanaojua zaidi basi ni vema msitangulize dharau juu ya utaalamu wa mwanzisha thread.
Mara nyingi ni rahisi sana kuboresha wazo kuliko kuanza kwa mara ya kwanza.
Lakini pia mwanzisha thread alipoishia ndipo wengine mnatakiwa kuanzia. Hivyo msilaumu bali ongezeeni ujuzi zaidi ili tupate ufahamu unaostahili.
Shwain!Naskiaga kuzama chumvin ndo kwenye hayo makalo ya kuanikia chumvi???
Nafkir mtoa mada hajakulupuka bt kaelezea basing on chumvi inayolimwa kutokana na maji ya baharAmekurupukaAmekurupukaAmekurupuka, hata kule manyara kuna chunvi nyingi
Chumvi hailimwi!!!Nafkir mtoa mada hajakulupuka bt kaelezea basing on chumvi inayolimwa kutokana na maji ya bahar
Neno sahihi la kiswahili nimelisahau ingekuwa poa zaid ungenisaidia hapoChumvi hailimwi!!!
Tupo pamoja, tunazidi kujifunza mkuu.Katika Pita Pita yangu Kwenye Mitàndao Japo sio sana, Kwa kweli Jforum Inanipa raha Sana, Faraja, Elimu, Vyote napata Jforum. Mungu awabariki sana Ndugu Na Jamaa Mnaotoa Maoni Mbali mbali, halafu nimegundua Kuwa hata MTU anaekosea Hapa anafanya watu tufunguke zaidi, Kwa sababu Anakutana Na Vichwa Vilivyo fiti, na vyenye Udadisi, Mtoa Mada Nakushuku sana,
Chumvi hailimwi!!!