Yajue maajabu 15 ya mwili wako

Yajue maajabu 15 ya mwili wako

Naamini namba tatu hiyo Ni kweli. Sababu akili ni nywele.

Za kuambiwa changanya ma zako mkuu,pale ulipokuwa field yule mzee wa kule vocational mbona ana nywele kibao lakin hata kuandika jina lake anabadili mikono mara 3.
 
Za kuambiwa changanya ma zako mkuu,pale ulipokuwa field yule mzee wa kule vocational mbona ana nywele kibao lakin hata kuandika jina lake anabadili mikono mara 3.
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
ILA sometimes Kuna ukweli fulani.

Za kuambiwa changanya ma zako mkuu,pale ulipokuwa field yule mzee wa kule vocational mbona ana nywele kibao lakin hata kuandika jina lake anabadili mikono mara 3.
 
Logical .......safi
1. Watoto wanamifupa 60 zaidi kuliko watu wazima

2. Jasho katika miili yetu halinaga harufu mbaya isipokuwa ni bacteria katika ngozi zetu wanafanya jasho litoe harufu mbaya

3. Utafiti unaonyesha wanaume wenye nywele nyingi wana akili nyingi pia

4. Masikio yako na pua haviachi kukua

5. Kila mtu ana alama za kipekee katika ulimi wake.

6. Mapigo ya moyo wako hubadilika kutokana na aina ya muziki unaosikiliza..

7. Asilimia 20 ya damu na oksigeni katika mwili wako hutumiwa na ubongo wako.

8. Ingawa unajiona uko imara lakini ukweli ni kwamba asilimia 30 ya mifupa yako ni maji

9. Moyo wako hutengeneza nguvu yenye uwezo wa kuendesha roli kwa siku moja kwa zaidi ya kilometa 30

10. Kiwango kikubwa cha vumbi katika nyumba yako ni ngozi yako iliyokufa

11. Ukiuvunja mwili wako katika kemikali na kuuza , utapata Tz shilingi 350316.38

12. Kiwango cha juu cha joto kilichorekodiwa katika mwili wa binadamu ni nyuzijoto 46.5

13. Tindikali katika utumbo wako ikiwekwa kwenye mkono wako ina uwezo wa kutoboa kiganja chako

14. Unaweza kuondolewa tumbo, 80% ya ini, utumbo, figo moja ,na pafu moja nabado ukaendelea kuishi.



15. Ingawa ubongo unauwezo wa kutambua maumivu kutoka sehemu mbali mbali za miili yetu lakini , ubongo wenyewe hausikii maumivu hata siku moja hii ndio maana oparesheni ya ubongo inaweza kufanyika bila ya mtu kulala.
 
Ingawa wengi tunadhani tuna macho mawili, ukweli ni kwamba macho yapo matatu kwenye mwili wako...by Mshana JR


Pua ndicho kiungo kilicho mbele zaidi kuliko kiungo kingine chochote kile na ndio maana HAKI YAKO INAISHIA PALE PUA YA MWENZIO INAPOANZIA
 
Wastani wa matumizi ya GB yako ni asilimia 16 tu kwa siku na ukijibidisha ukafika walau 20% utafanya maajabu duniani
 
Maisha magumu hiyo namba 11 idadavue vizuri kumbe binadamu mtaji!
 
14 mmh, ini ni very delicate issue kuliko hata ubongo, ini ni kama jenereta ndani ya mwili, huwezi kusema 80% ya ini iolewe uishi NAKATAA
 
Back
Top Bottom