Yajue maajabu 15 ya mwili wako

Yajue maajabu 15 ya mwili wako

hii ndo science inafundishwa kwenye shule zetu. Bora sikusoma, hili la akili nyingi ni forktale
 
hii ndo science inafundishwa kwenye shule zetu. Bora sikusoma, hili la akili nyingi ni forktale
wengi nimesoma nao walikua na gaden lavu,midevu,afro lakin nilikua nawaelewesha baada ya mwalimu kutoka,wangesema wenye nywele nyingi wana nyegemshindo ningeamin
 
wengi nimesoma nao walikua na gaden lavu,midevu,afro lakin nilikua nawaelewesha baada ya mwalimu kutoka,wangesema wenye nywele nyingi wana nyegemshindo ningeamin
HA HA HA HA HAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Namba

3 bado namashaka nayo maana vichaa wengi wana nywele nyingi sana sasa hapa wao akili zime zidi au?
Hiyo ni kesi nyingine kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
na 3 kama siiamin maana kuna baba yangu ana upara lakini ana akili sio mchezo wakati rafiki yake ana minywele kama Bob Marley halafu kichwan ziroo
 
sipati picha mapigo ya moyo yanakuaje nkiwa namsikiliza manfongo!
 
Back
Top Bottom