Yajue maajabu 15 ya mwili wako

mugumu11

Senior Member
Jun 22, 2016
113
56
1. Watoto wanamifupa 60 zaidi kuliko watu wazima

2. Jasho katika miili yetu halinaga harufu mbaya isipokuwa ni bacteria katika ngozi zetu wanafanya jasho litoe harufu mbaya

3. Utafiti unaonyesha wanaume wenye nywele nyingi wana akili nyingi pia

4. Masikio yako na pua haviachi kukua

5. Kila mtu ana alama za kipekee katika ulimi wake.

6. Mapigo ya moyo wako hubadilika kutokana na aina ya muziki unaosikiliza..

7. Asilimia 20 ya damu na oksigeni katika mwili wako hutumiwa na ubongo wako.

8. Ingawa unajiona uko imara lakini ukweli ni kwamba asilimia 30 ya mifupa yako ni maji

9. Moyo wako hutengeneza nguvu yenye uwezo wa kuendesha roli kwa siku moja kwa zaidi ya kilometa 30

10. Kiwango kikubwa cha vumbi katika nyumba yako ni ngozi yako iliyokufa

11. Ukiuvunja mwili wako katika kemikali na kuuza , utapata Tz shilingi 350316.38

12. Kiwango cha juu cha joto kilichorekodiwa katika mwili wa binadamu ni nyuzijoto 46.5

13. Tindikali katika utumbo wako ikiwekwa kwenye mkono wako ina uwezo wa kutoboa kiganja chako

14. Unaweza kuondolewa tumbo, 80% ya ini, utumbo, figo moja ,na pafu moja nabado ukaendelea kuishi.



15. Ingawa ubongo unauwezo wa kutambua maumivu kutoka sehemu mbali mbali za miili yetu lakini , ubongo wenyewe hausikii maumivu hata siku moja hii ndio maana oparesheni ya ubongo inaweza kufanyika bila ya mtu kulala.
 
Naamini namba tatu hiyo Ni kweli. Sababu akili ni nywele.
 
1. Watoto wanamifupa 60 zaidi kuliko watu wazima

2. Jasho katika miili yetu halinaga harufu mbaya isipokuwa ni bacteria katika ngozi zetu wanafanya jasho litoe harufu mbaya

3. Utafiti unaonyesha wanume wenye nywele nyingi wana akili nyingi pia

4. Masikio yako na pua haviachi kukua

5. Kila mtu ana alama za kipekee katika ulimi wake.

6. Mapigo ya moyao wako hubadilika kutokana na aina ya muziki unaosikiliza..
7. Asilimia 20 ya damu na oksigeni katika mwili wako hutumiwa na ubongo wako.

8. Ingawa unajiona uko imara lakini ukweli ni kwamba asilimia 30 ya mifupa yako ni maji

9. Moyo wako hutengeneza nguvu yenye uwezo wa kuendesha roli kwa siku moja kwa zaidi ya kilometa 30
10. Kiwango kikubwa cha vumbi katika nyumba yako ni ngozi yako iliyo kufa

11. Ukiuvunja mwili wako katika kemikali na kuuza , utapata Tz shilingi 350316.38

12. Kiwango cha juu cha joto kilicho rekodiwa katika mwili wa binadamu ni nyuzijoto 46.5

13. Tindikali katika utumbo wako ikiwekwa kwenye mkono wako ina uwezo wa kutoboa kiganja chako

14. Unaweza kuondolewa tumbo, 80% ya ini, utumbo, figo moja ,na pafu moja nabado ukaendelea kuishi.






Reference/source/retrieved from.. YAJUE MAAJABU 15 YA MWILI WAKO.... - WAJANJATZ





15. Ingawa ubongo unauwezo wa kutambua maumivu kutoka sehemu mbali mbali za miili yetu lakini , ubongo wenyewe hausikii maumivu hata siku moja hii ndio maana oparesheni ya ubongo inaweza kufanyika bila ya mtu kulala.
hiyo namba 6,9 na 10 kiboko
 
Back
Top Bottom