Yajue maajabu 15 ya mwili wako

Yajue maajabu 15 ya mwili wako

Hiyo namba 11. Kwa maiti ya mtanzania huwezi kupata hata senti tano
 
Ufafanuzi no 11 tafadhali...!! Halafu hiyo no3 ni nywele za wapi maana kuna wenye vipara ni vipanga balaa...
 
1. Watoto wanamifupa 60 zaidi kuliko watu wazima

2. Jasho katika miili yetu halinaga harufu mbaya isipokuwa ni bacteria katika ngozi zetu wanafanya jasho litoe harufu mbaya

3. Utafiti unaonyesha wanaume wenye nywele nyingi wana akili nyingi pia

4. Masikio yako na pua haviachi kukua

5. Kila mtu ana alama za kipekee katika ulimi wake.

6. Mapigo ya moyo wako hubadilika kutokana na aina ya muziki unaosikiliza..

7. Asilimia 20 ya damu na oksigeni katika mwili wako hutumiwa na ubongo wako.

8. Ingawa unajiona uko imara lakini ukweli ni kwamba asilimia 30 ya mifupa yako ni maji

9. Moyo wako hutengeneza nguvu yenye uwezo wa kuendesha roli kwa siku moja kwa zaidi ya kilometa 30

10. Kiwango kikubwa cha vumbi katika nyumba yako ni ngozi yako iliyokufa

11. Ukiuvunja mwili wako katika kemikali na kuuza , utapata Tz shilingi 350316.38

12. Kiwango cha juu cha joto kilichorekodiwa katika mwili wa binadamu ni nyuzijoto 46.5

13. Tindikali katika utumbo wako ikiwekwa kwenye mkono wako ina uwezo wa kutoboa kiganja chako

14. Unaweza kuondolewa tumbo, 80% ya ini, utumbo, figo moja ,na pafu moja nabado ukaendelea kuishi.




Reference/source/retrieved from.. YAJUE MAAJABU 15 YA MWILI WAKO.... - WAJANJATZ

15. Ingawa ubongo unauwezo wa kutambua maumivu kutoka sehemu mbali mbali za miili yetu lakini , ubongo wenyewe hausikii maumivu hata siku moja hii ndio maana oparesheni ya ubongo inaweza kufanyika bila ya mtu kulala.
Namba 3 kama inapingana na hali harisi maana hapo zamani watu wengi waliokuwa wana akili walikuwa na vipara
 
Namba 3 kama inapingana na hali harisi maana hapo zamani watu wengi waliokuwa wana akili walikuwa na vipara
AMNA BHANA WEWE ANGALIA WANASAYNSI WENGI WALIKUWAJE .....mfano mzuri ni bwana einstein
 
We si unajua pit la lege nasis tunaockiliza zatalatb au moyo wabinadam nilazma udunde nakila mtu anaspid yake
 
Hakuna ata sehemu inayozungumzia kugegedana? Hakuna ata maajabu zaid ya yale yaliyopo chini ya kitovu
 
Back
Top Bottom