Yahusu wafufuao wafu na misukule

Halafu Kwa Nin Uombewe Wakat Wew Mwenyew Unauwezo Wa Kufanya Hivyo,
Mi Nakuambia Ndio Mana Siku Hizi Watu Wengi Kila Akifanya Ibada Mungu Hajibu Kwa Sababu Tuu Kuna Hulka Iliyojaa Uongo Ya Kuombewa Vichwan Mwa Watu.
 
Kuna uzi alitoa mtumishi Ishmael hapa jf akishauri kwa mods mada zozote zinazohusu watu wa imani hiyo ya manabii zisiwekwe kwenye jukwaa la dini kwa sababu ya mambo kama haya. Sasa jopo la wataalam mbalimbali kama maalim Billcosby faby na wengine tulishauri mada zao zipelekwe jukwaa la ujasiriamali.
 
Last edited by a moderator:

Acha kuongopa kakobe hajawahi kufanya hivyo
 
Good morning all.....sasa before we proceed naomba msome habari ya Nabii wa Uongo alieitwa Simon the Sorcerer; kwa Umakini kabisa someni Matendo ya Mitume 8 : 9- 25 kwa Biblia za kiingereza Act of Apostles 8:9-25 . Hawa watu wapo tangu enzi za kina Mtume Paulo na ndio maana tunaambiowa tujifunze kuzijaribu Roho "Wapenzi wangu, msimsadiki kila mtu asemaye kwamba ana Roho wa Mungu, bali chunguzeni kwa makini kama huyo mtu anaongozwa na Roho wa Mungu au la, Maana manabii wengi wa uongo wamezuka ulimwenguni (1 Yohana 4: 1). Good day...nitarudi jioni kama bado mtakua na hoja za kueleweka!!!
 

Shida ni kwamba sijui watu wana nini badala ya kujikita kwenye hili wamegeukia mambo mengine kabisa kwa sababu wanaozijua wao
 

unataka kutuambia mizimu ya kutengeneza ya babako imewapasua malinda huyo mchungaji na hao wanasiasa...?
 

Duh, hii kali kwakweli kama mambo ndio haya basi watu wengi wataangamia mikononi mwa hawa wachungaji, naomba MUNGU aje awaumbue siku moja kwani yeye ana nguvu kuliko chochote
 

turashashe jr inaelekea unafahamu mengi kuhusu hawa manabii, hebu tusaidie kutuwekea hapa ili tuweze kuokoka nao usije kuta hata wengine humu tuna abudu kwao, tuwekee mkuu hata kwa kutu pm.
 
Wala hakuna kupasuliwa malinda pale ni utaratibu wa hiyo kazi na wengine mbona huingia kabulini kabisa na kisha kukaa humo kwa Massa mawili mfano kuna yule wa arusha alikaa mda Massa mawili na sasa waumini wa kutosha tu wanamafata
 
Ni ngumu sana kuwataja mana nitahalibu ulaji wao na Wang pia kinachotakiwa ni kujua kuna makanisa kwenye sehemu za milango kumewekwa mboo za maiti na kila muumini anayepita hapo lazima apitiwe pasipo kujua
 
Ni ngumu sana kuwataja mana nitahalibu ulaji wao na Wang pia kinachotakiwa ni kujua kuna makanisa kwenye sehemu za milango kumewekwa mboo za maiti na kila muumini anayepita hapo lazima apitiwe pasipo kujua

Hahahahaaaa loh hii kali wallah
 

Hapana mkuu, mi nafikiri hapa kweli unamuhukumu, maana ni afadhali amesema hili ili watu wajue kuwa kuna wachungaji wanaenda kutafuta nguvu za giza na wala mimi sioni kosa lake hapa ni nini? ungemweleza tu kwa upole kama unaona amekosea, sitetei uganga wala uchawi maana ni mbaya sana lakini kwa jinsi alivoeleza turashashe jr mi nafikiri imesaidia kuwafungua watu kuwa hata hao manabii na mitume wanatumia nguvu za giza na ametoa mfano live wa jinsi alivyoshihudia.
 

Kwa wafu kufufuliwa nina mashaka kiasi Fulani japo Mungu anaweza tumia mtumishi wake kufufua. ila mapepo ni kweli kabisa tena ususani kwa wamama kwani kuna uadui mkubwa kati ya uzao wa mwanamke na shetani hivyo wanawake wengi hufungwa uzazi na mapepo ila wakiombewa uzaa
 
Ni ngumu sana kuwataja mana nitahalibu ulaji wao na Wang pia kinachotakiwa ni kujua kuna makanisa kwenye sehemu za milango kumewekwa mboo za maiti na kila muumini anayepita hapo lazima apitiwe pasipo kujua

Eeh MUNGU wa mbinguni tusaidie na utuepushe na haya makanisa. mkuu mi naomba uni pm tu kunieleza zaidi wala hata usipotaja majina ila maelezo tu, tafadhali mkuu.
 
Dah bora umenisaidia simakoku mana kuna mwingine kaja pm kunishambulia na kunitisha ila mi nachomwambia mi siogopi kufa mana nishapptea ndani ya mto mgandazi pale kasulu zaidi ya mwezi hivyo mtu Mjinga hawezi nitisha Maisha yangu kama anaona yeye ana nguvu za kushindana na mimi mwezi wa sita nitakuwa dar aje na mchungaji yeyote anayeona anamiujiza kwangu halafu tushindane ndio atajua watu wake wanatumia nguvu ya mungu au shetani na pili mi sina dhiki nimewasaidia watu wengi wanaendesha ma range unafikili mi nikoje
 
Last edited by a moderator:

Hao wanaokushambulia watakuwa ndio haohao wanaojiita watumishi wa Mungu lakini kumbe wanatumia nguvu za giza, kama ingekuwa haijawagusa wangekaa kimya.
 
Hao wanaokushambulia watakuwa ndio haohao wanaojiita watumishi wa Mungu lakini kumbe wanatumia nguvu za giza, kama ingekuwa haijawagusa wangekaa kimya.

Ni kweli kabisa ukiona mtu povu linamtoka sana ujue kuna shida mahali au ana maslahi na hilo jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…