Yahusu wafufuao wafu na misukule

....Usilazimishe mambo wewe ndugu !........hakuna kashfa yeyote niliyoandika humu !.....wewe unakwepa hoja na tiba ya shida yako. Umegundua imani yako ina kasoro, ila unaogopa ushauri m'badala !

You are no longer my concern...!!!
 
Why are you scared, perplexed, petrified and flabbergasted? Answer my question: Who owns the Quran?

(Mwenyezi Mungu) Amekuteremshia Kitabu (Qur'an) kwa haki kinachosadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na (Mwenyezi Mungu) aliteremsha Tourat na Injil
Qur'an: 2:3.
Vipi TanzaniaLaw !?
 
Last edited by a moderator:
Hata hiki kitendo cha Joshua kuuza maji ya upako kwa pesa nyingi vile ni form of white collar crime
 
Sometimes silence is the best answer..!

The fact in issue is not jesus cant heal on the Tv or any similar device..

How about those transactions (mostly mpesa ,tigo pesa )which we are told to finance from the start to the end of the prayer...are they biblical?? .....
 
The fact in issue is not jesus cant heal on the Tv or any similar device..

How about those transactions (mostly mpesa ,tigo pesa )which we are told to finance from the start to the end of the prayer...are they biblical?? .....

🏃🏃🏃🐞🏃🐞🏃🐞🐞
 

Kweli kabisa mpendwa-pia wanaotafuta kwa bidii kuwa na amani na watu wote,pamoja na utakatifu,ndiyo tu watakaomuona Mungu.
 

Pia hebu muulize watu(wayahudi)waliokuwa wakiishi wakati Yesu akiwa duniani wali-quote wapi maandiko!,akina matayo,marko,luka na yohana waliandika habari za Yesu baada ya Yesu kuondoka duniani.Ndiyo maana waliandika habari za Yesu wakitumia wakati uliopita(past events),Neno la Mungu(Biblia) linatakiwa likae ndani yetu na siyo kwenye makaratasi.Pia elewa kwamba utaratibu wa aya na vifungu haupo kwenye lugha ya kiarami,kiebrania wala kiyunani.Asanteni wapendwa,tujibu hoja bila jazba.
 
Joe1970 watu tunatofautiana kuna watu hawana uwezo wa kujenga hoja binafsi mpaka stake quotes na huo ndio msimamo wake na huwezi kumbadilisha! Uchambuzi na uchanganuzi wa chochote kwake hauwezi kukamilika bila nukuu fulani! Sasa nashindwa kuelewa umesoma ili upate maarifa binafsi au unasoma ili uwe mahiri wa kunakili vifungu?
 
Last edited by a moderator:
mangatara nafili utakuwa hujanielewa kwanza mi nimelelewa kwenye hizo dini zote hivyo siwezi kutukana mkristo yoyote kingine ninachokwambia ndio kilichopo japo si makanisa ila ya hao manabii wako hivyo vitu vipo na sio kanisani pekee kwenye mabasi masokoni kote vipo hivi unajua wtoto wanapatikanaje kwa waganga na unajua kwa nini kuna upungufu wa nguvu za kiume hivyo basi kaa ujiulize na utapata jibu ukikosa uliza nini sababu
 
Last edited by a moderator:
Haaahaa turashashe jr. Kuna kitu unaongea kina mantiki huyo anayekubishia anayajua sana hayo ndo maana kapaniki. We Jiulize unaanzaje kutokwa povu kwa kitu kisichokuwa na maslahi kwako?
 
Last edited by a moderator:

kweli kabisa manake kama unaambiwa allah ni mungu nawe hujawahi muona you are imbesile
 
(Mwenyezi Mungu) Amekuteremshia Kitabu (Qur'an) kwa haki kinachosadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na (Mwenyezi Mungu) aliteremsha Tourat na Injil
Qur'an: 2:3.
Vipi TanzaniaLaw !?

huu nao ni ujinga mwingine kwani ulikuwepo huyo mungu wako akiteremsha? Aliteremsha na ngazi na kutokea wapi? Una tofauti gani na wale unaowashutumu wajinga wanapoamini maji yaweza kuwa damu ya Yesu??
 
Last edited by a moderator:

aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…