Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,085
Yawezekana ni tatizo la wachache au wengi au yawezekana pia ni tatizo langu pekeyangu lakini kwakweli mvua hii imenitia hasara kubwa yani ndani ya wiki moja nimeshapoteza miamvuli mitatu
Najitahidi niwezavyo kutosahau mwamvuli wangu nikikaa mahali lakini hujikuta nikishaondoka ndio hukumbuka na nikirudi hamna kitu
Hii ni kama aina fulani ya ugonjwa nakumbuka kila kitu lakini kwa miamvuli noo, mpaka sasa nimeamua tu kutoendelea kununua miamvuli kwakuwa ni kama nawanunulia wengine
INANIUMA SANA