Yahusu kufuta kauli

Hizo nguvu serikali inayotumia kupinga kila ovu linaloibuka juu yao wangeitumia kujenga maendeleo bila shaka leo tungekua dunia ya kwanza
 
Kwa namna mnavyokwama hata kunyoosha maneno mnasikitisha kuutetea wizi.Jikakamueni "labda" mtaeleweka na wasojua huo "uhasibu"!Poor you!Profesa Assad alivomjibu jiwe alikaa chini na kutikisa kichwa.Ulielewa anakupa ujumbe gani?
Jifanyeni hamnazo
 
Hata ambao wangemfunga kengele wakimkalibia tu wanatugeuka na kumsifia.
 
Kwani zile alizokuwa anagawia wa kina mama baranani je, na zingine kajenga chato
 
Mbunge mmoja
kule Afrika kusini wakiwa bungeni akasema nusu ya wabunge wote humu ndani ni wapumbavu. Kauli hii ikawakera wengi mpaka supika akamwamuru jamaa afute kauli yake. Hakubisha! Akakubali kufuta kauli yake kwa kusema nusu ya wabunge wote humu ndani sio wapumbavu!!
 
Chini ya miaka mitatu ufisadi umevunja rekodi ya dunia !
 
Sichangii nimeelewa VP ila wengi mtakuwa MNA hisia nimemwamini nani. ( uzi mgumuuu)
 
๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Ulijiridhisha kuwa baby alitapeliwa? Maana kuna ulaghai mwingine mno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ