Yahusu kuchanjiwa muku

Yaani umenena kweli maana haya mambo ni ya kufikirika saaana,leo tupo karne ya 21 mijibaba mizima na yenye mvi bado yanashdadia upupu wa aina hii,ETI MUKU.
[emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Muku si mchezo umenikumbusha kipindi bibi wa baba angu anafariki alihangaika karibia wiki 2 hadi wazee wenye busara walipokumbuka kitu...walienda kwenye paa la nyumba wakatoa nyasi zilizoezekea ile nyumba usawa wa kitanda cha mgonjwa...punde tu alifariki
 
[emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Mkuu,mimi nimezaliwa usukumani ndani kabisa(Ntuzu),na hiyo MUKU naifahamu sana,na nimeshuhudia vikongwe vikifanyiwa hilo zoezi la kuezua paa moja wapo la majani au lolote ili kikongwe akate roho haraka maana anateseka na roho haitoki,basi wanafanya hivyo na kweli kikongwe anafariki muda huo huo,sasa najishangaa ilikuwaje nikafanya madudu kupinga Mkuu.
 
Tuachane na yaliyopita tu focus yaliyopo na yajayo hili ndio la muhimu leo tupo hai tunapost na kureply JF, kesho hatupo lakini maandishi yapo hayafutiki yatadumu kadiri ya dunia itakavyodumu...kwa maana nyingine milele
 
Mkuu,hapo ndio nakupa hongera kwa roho yako ya kiungwana kabisa,ingekuwa mtu mungine mpaka leo ningepokea kashfa kila siku,lakini kwako napata nasaha na hekima ambayo na mimi inanijenga ndugu yangu.
 
Hiiii Kitu ipo sana Tanga ukienda Lushoto huko, au amani huku Muku, ndele ni vipo na vinafanya kazi kwa sana tu sema havipo exposed kivile.

Kuna muku nyingine hushikiki, yani ukishikwa tu unateleza kama kambare.

Mwngine ukipigw pangwa haizami wala nini, inadunda tu.

Kuna nanga mmoja hivi alikuwa anajitutumua kwa ajili ya muku yake watu wanapiga panga wapi,

Akatokea mzee mmoja akasema huyu dawa yake ndogo tu, kata panga chini kwanza then mtungue uone, aaah mura ilikuwa kama unakata boga kitu ikangiiia vzuri tu.

Hapa nna swali kidgo.

Hiii muku ni kimwili tu au kinga hadi rohon uchezeki?
Mtu mwenye muku akifa anakufa kwwli au roho inakuwa ina landa tu?

Umesema mtu akitaka kufa akuteseka sana huweza vunja maagano na roho ikasepa kwa utaritibu wake, je naweza weka muku then nikaamua kuivunja after muda flani??

Tanga nuksi
 
Muku hauhitaji professionalism sana sana hatapigwa kwa TKO kwakuwa ule ni ugomvi wa kusukwa
Nipo chumbageni,mwambie mtaalam aje bas tufanye mambo y MUKU,na upande ule wa mambo yetu ukoje,maan ndio nautaka haswa,maaan mtu akifuata buku kumi nyumbani mpka aone kero kuchukua
 
Nipo chumbageni,mwambie mtaalam aje bas tufanye mambo y MUKU,na upande ule wa mambo yetu ukoje,maan ndio nautaka haswa,maaan mtu akifuata buku kumi nyumbani mpka aone kero kuchukua
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mkuu mi sijawahi kufa hivyo naweza nisielewe, hivi mauti yanapomfika mtu kuna ugumu pia? Unapimaje ugumu na uraisi wa kifo cha mtu?
 
Mkuu mi sijawahi kufa hivyo naweza nisielewe, hivi mauti yanapomfika mtu kuna ugumu pia? Unapimaje ugumu na uraisi wa kifo cha mtu?
Kwenye kukata roho... Inachukua muda sana kuachana na mwili
 
Kwenye kukata roho... Inachukua muda sana kuachana na mwili
Kwahiyo huo muda ndio ugumu uliouongelea mkuu? Mi nilidhani uhai kutoka ndio kifo, na kwa namna yoyote utakavyokufa unakuwa umekufa. Au unaongelea muda wa kuugua hadi kufa?
 
Kwahiyo huo muda ndio ugumu uliouongelea mkuu? Mi nilidhani uhai kutoka ndio kifo, na kwa namna yoyote utakavyokufa unakuwa umekufa. Au unaongelea muda wa kuugua hadi kufa?
Kuugua hadi kufa ni jambo la kwanza lakini jambo la pili ni kile kitu kinaitwa HARI ZA KIFO... ndio namaanisha hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…