Yahusu kuchanjiwa muku

Duu umeua [emoji12] [emoji12]
 
Test nyingine za muku ni kukatwa na jambia bila kupata madhara makubwa, kupita kwenye moto mkali na kuangushwa kwenye gemo

Vipi ile ya watu kujirusha toka kwenye ndege au ghorofa inahusiana vipi na upimaji MUKU.
 
Nadhani huu uzi utakuwa umevunja rekodi kwa kuwa uzi wenye stori za uongo kuliko yote
 
Hahaha hapo umeniacha, mkuu haya mambo unayajua umewahi kufa nini?!
Nimekuwa sehemu ya wafu kwa muda mrefu.. I mean wale ambao wanakaribia kufa... Na kwa sehemu baadhi yao nimewasaidia kufa... Lakini zaidi nimeshafanya death meditation karibia mara 3 katika maisha yangu
 
Nimekuwa sehemu ya wafu kwa muda mrefu.. I mean wale ambao wanakaribia kufa... Na kwa sehemu baadhi yao nimewasaidia kufa... Lakini zaidi nimeshafanya death meditation karibia mara 3 katika maisha yangu
Hongera mkuu, mi sayansi yakifo niliisoma chuo tu. zaidi ya kuona watu wakifa, huwa sifuatilii muda gani roho inatoka , sijui inapata shida gani, mi najua mtu kafa basi. labda kufanya resuscitation process tena nayo simple CPR basi. Baada ya hapo hiyo sayansi after death sijui mnajuaje yani.
 
Ukikubali nitakufundisha hata kumfisha asiyetaka kufa... Wakati hana maisha tena...!
 
Ukikubali nitakufundisha hata kumfisha asiyetaka kufa... Wakati hana maisha tena...!
Mimi niko tayari kujifunza chochote humu duniani ilimradi kisinidhuru mimi au nisimdhuru mwingine. Elimu haina mwisho mkuu.
Ila wewe huwa unasema ulikua Mortuary attendant(MA) mimi niko beyond huko. Naogopa usije nifunza uchawi tu. Kama sio uchawi basi twende kazini mkuu naweza saidia wengine pia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hapana sifunzi uchawi... Najua uko njema sana nami nafaidika toka kwako lakini kuna ya ziada mengi kati yetu tunaweza kushirikishana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hapana sifunzi uchawi... Najua uko njema sana nami nafaidika toka kwako lakini kuna ya ziada mengi kati yetu tunaweza kushirikishana
Sawa mkuu toa somo mkuu unajua elimu haina mwisho mkuu.
 
Ufundishwe kumfisha mtu asiyetaka kufa wakati hana maisha tena??
Si ndio kuua indirect huko??
Hana maisha kwa vipimo..au matakwa ya mfishaji??
Utayaingia pole pole...baadae mwenyewe utatafuta kilinge...na kwa hiyo kazi yako mbona utawafaa huko...
Mkuu mengine yaache...kama yalivyo...kama ingelitakiwa hivyo ..watu wote wangejua ... .... ... wengine ni mawakala au wanatafuta kariba flani humu!
Samahani lakini mkuu...una maamuzi pia!
Ongeza uelewa... .. elimu ni bahari...
 
Mkuu Mshana Jr naomba upandishe ule uzi wako kuhusu ushirikina/uchawi kwenye soka (ninasikitika sikuusoma kwa kina uzi huo).Nataka nifanye reflection kwenye mechi ya jana.
 
Hahaha usihofu siwezi kufanya ninalojua liko nje ya taaluma, na siwezi dhuru mtu au nafsi yotote kwa utashi wangu au wamtu yeyote.
Ila tutajifunza kuingeza maarifa labda ni kutu kizuri, huwezi kataa kabla hujaona muhutasari wa darasa. Nasubiri kisha nitaamua.
Mshana kesha sema hafunzi uchawi.
 
Natoa tahadhari hata mie nimechanjiwa, na no mganga wa muku, karibuni wadugu
hiyo dawa unakunywa kila siku au mpaka uumwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…