Yahoo ceo fired | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yahoo ceo fired

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Sep 7, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sehemu ya ujumbe aliowatumia wafanyakazi wake aliyekuwa CEO wa yahoo carol Bartz kuwajulisha kuwa katemeshwa mzigo

  Kawa nini , au kuna tatio gani au nini ilitokea ?

  Habari kamlili soma DailyTech - You're Fired: Yahoo CEO Carol Bartz Gets the Boot

  Unaweza ukaidka pia Carol Bartz Confirms Her Own Firing - From Her iPad | TechCrunch

  [​IMG]
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mi nilisikia kajiuzulu
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Her message alone shows she will pull thru...
   
 4. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwenye corporate world you will be given everything you want, staff, big spending budget, excellent tools of trade ...fat salary...and u r expected to deliver! Its a tight world out there, u mess up the first time ur given a yellow light, a second time, u r fired! No mercy even if u r attending ur sibling's funeral!
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  This is actually very big news... kwa wanunua share, hii kitu inataporomoka sana, kampuni yaonekana iko ukingoni. Na ninahisi itanunuliwa jumla jumla na moja ya makampuni washirika au hata wapinzani...
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  matatizo ya yahoo yalianzia zamani saana

  bora wangewauzia microsoft kipindi kile
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  I do not see any recovery, PR-wise, for a company ambayo chairman wake anamtimua CEO kwa kumbipu kwa simu!!! Well, not at that level of multi-nationality kwa kampuni.
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Boss yahoo mbona kuna vitu inawazidi Google na Microsoft.

  Webmail service ya yahoo nadhani ina user inteface ( UI) nzuri zaidi kuliko washindani wake. Mi nadhani mapungufu yao zaidi ni kwenye search engine.

  LAkini ukiagalia hata alexa ranking hotmail wameachwa mbali na yahoo.

  Yahoo wana service amabazo zinapendwa sana sana duniani mfao live sports cast kama ya mechi za ligi za uK, spain, italy. Sasa hivi kuna US open inapatikana Tennis News | Tennis Scores | Tennis Results - Yahoo! Eurosport UK

  Microsoft hawana ubunifu wao wanachojua siku hizi ni kununua tu. Na kukunua nunua ni dalili ya kuua ushindani. So napingana na wewe kuwauzia microsoft sidhani kama ni way foward ya yahoo

  Na kazi inakuwa ngumu zaidi pale amabpo competito wako ni google na Microsoft. Mercy only In Tanzania.....

  Naona kwenye article moja wanasema kundoka kwa huyo CEO it was just a mater of when not if .

  Labda aliiaombwa ajiuzulu akagoma so wakaamua kumchoma moto ( Ku-fire) teh teh teh
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mkuu mapungufu ya kampuni ndo hayo...
  search engine yahoo walikuwa juu hata kabla ya google kuzaliwa
  but leo kiko wapi?
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hapo kweli Google wamekuja wakawapiga bao lakini nadhani bao baya zaidi ni na microsoft wamezisha BING yao juzi juzi tayari na wenywe wameshawapiga bao
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  duh
  mpaka bing?
   
 12. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yahoo is dying a slow death!!
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  YEs hivi sasa Bing wanawazidi yahoo kwenye market share ya search

  Wataalamu wanasema usipobadilika mapema kwenda na wakati mabadiliko yatakubadilisha wakati tayari ukiwa nyuma. Hawa yahoo nakumbuka messeger service yao ilikuwa juu kuliko hata skype. Sasa sijui inakuwaje hata kwenye VOIP service unaweza kusikia skype wanawazidi yahoo wakati yahoo messeger ilikuwepo miaka kibao kabla hata skype haijazaliwa.
   
 14. newtonfox

  newtonfox Senior Member

  #14
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Tatizo yahoo wanawebsite nyingi yani hawawezi kucontroll zote nandhani zitakua zinazaiidi 20 bora wangejipanga kwa mambo machache
   
 15. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mtazamaji,

  From my own observation, I think Yahoo mail accounts are the most hacked around the world. I have got an email registered with them but I hardly use, not that there is a problem with it so far but I just think that the likes of hotmail and gmail do suffice and are rather neat to the eye just to add. My observation is based on the fact that, for every incident I read of someone's email being hacked, the provider of that address has turned out to be Yahoo, hence my conclusion. I may completely be wrong, but hey, this is what I think!
   
 16. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #16
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu, maneno yako ni kweli kabisa.
   
 17. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,064
  Likes Received: 1,104
  Trophy Points: 280
  Tatizo la Yahoo! ni mapato

  kuendesha kampuni ni lazima uwe na mapato, na ni kweli yahoo mail ina users wengi lakini they don't make real money off of it. Ili kuongeza mapato yahoo ilibidi inunue Overture, kampuni iliyoanzisha tekinolojia ya pay per click kwa mara ya kwanza.

  Tatizo la overture, kama vile parent company, yahoo, ilikosa strategy (problem number 3). Kwasababu mambo yao yalikuwa yanafanywa manually ilikuwa kama unataka kuweka tangazo lako yahoo ilikubidi usubiri siku tano kabla ya wao ku-aprove tangazo lako na kama ukifanya marekebisho ilibidi usubiri siku tano nyingine ili tanazo lako liwe live. Hii iliwaudhi marketers (the blood life of internet companies) wengi.

  Pia overture walikuwa wana ad bidding system mbaya, ilikuwa mwenye kulipa pesa nyingi ndiyo tangazo lake linakuwa juu bila kujali kama linaendana na content ya search result (relevancy) au la. Matokeo yake conversion rate ya ads nyingi ilikuwa ndogo na hii ilifaya marketers wengi kupoteza pesa zao lakini hawakuwa na jinsi kwasababu hakukuwa na system nyingine ya ku-display ads kwa large audience kama yahoo.

  Mwaka 2001 google wakatoa adwords system ambayo ilikuwa automated (haikuitaji manual review) pia ilikuwa ni instant display (yaani ukiweka tangazo lako tuu linaonekana hapo hapo bila ya kusubiri). Sasa kwasababu google toka mwanzo msimamao wao ulikuwa ni relevancy hata kwenye adwords system yao walionyesha ads zilizokuwa relavant na search results. Hii ilifanya marketers wengi kuachana na overture ya yahoo na kukimbila adwords ya google kwasababu conversion rate yao ilikuwa nzuri (yaani walipata faida kutangaza biashara zao kutumia google).

  Pia google walikuwa na system ya, "you pay as you go", haikutoza marketers hata sent moja ili kuonesha ads zao mpaka pale walipo kuwa wametumia walau $200 wakati yahoo wao walikuwa na prepaid sytem. Kutokana na sababu hizo yahoo ilianza kuporomoka kimapato kwasababu marketers waliokuwa wanaipa $$$ waliwakimbia.

  Money is a blood life of any company, no money no business, so yahoo is finished unless they find a new way to print money.
   
 18. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  well said indeed!
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  @Steve
  Being most hacked account nadhani inatokana na kuwa most freem email accouts users wanatumia Yahoo. I dont think from server side yahoo security protocol are different from those of gmail or hotmail,or AOL

  From my experinnce and observation too most user get hacked of thier account not because of their mail service provider weakness but rather they are haccked through social engineering.

  Mfano
  • kuna website wakati wa kusajili inakumbia ingiza email unayotumia alafu inamwambia mtu aigize password . Sasa unakuta mtu au watu anaingiza mtazamaji@ yahoo.com alafu kwenye passwod badala ya kuweaka password mpya kabisa anaweka password ile ile aliytumia kusajili yahoo. Kuna social engneering nyngi sana zinatumika kuiba passwrd aambazo they have nothing to do with serve side security
  • Kuna social engineering nyingine use wanatumiwa form kuwa accunt zao zimeuwa compromised so wanatakiwa waingize data upya. Hii inwatokea sana user wa facebook sio kwa sababu facebook iko weak lakini fb ina user wengi na wengine uelewa wao wa mambo ya security ni mdogo. Some people can not tell logn form ya kweli ya fb na ya mazabe

  Vile vile mtu mwingine anatumia browser outdated au anaaacha cookies kwa accout zake muhimu. I think kwa hili hata ikiwa gmail au hotmail AOL , etc they can do nothing.

  So while ni kweli most yahoo mail zinakuwa hacked lakini hacking inatokea sababu ya weakness ya user na si yahoo server . Na inakuwa rahisi ku note sababu watu wengi wanatumia yahoo.

  Dats what I think


  Si mchezo Chamoto
  Nondo zako kwenye mambo ya SEO , Intenet business na internet taffic analysis nayakubali

  Sir Isaac Newton kwani kuwa na website nyingi kuna madhara gani.? Mi Nadhni hilo sio tatizo. Huo wingi wa hizo website ndio unawafanya wawe website number mbili baada ya google kwa mujibu wa alexa ranking . Tatizo ni mapato yao hayaendani na umaarufu wao kama walivyosema wadau.
   
Loading...