Yah: Kuanzishwa kikundi cha MSUTO cha MKODOBWE!!!!!!!!!

Babu unituwee,
nimekula nini chako?
Nimevaa nini chako?
Afu usinipandishe mashetani yangu ujue.
Wewe ndo ulikuwa nambari one kutaka kunivunjia ndoa yangu na mume wangu.
Eti ooh... Chimbuvu hana hela.
Kwani unatembea na Acc yake?
Mara ooh... Chimbuvu mtoto,
una kadi lake la kliniki au ushawahi kumkuta kavaa Pampers!
Unituwe wewe Baba V,
Hapa stori tu,kula kwenu.

Chimbuvu chimbuvuuu chimbuvu yaani we Madame B umekosa la kusema zaidi ya kumsifia huyu mchoma mishkaki ya panya stendi newala? Ama kweli kipenda roho......
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu chimbuvuuu chimbuvu yaani we Madame B umekosa la kusema zaidi ya kumsifia huyu mchoma mishkaki ya panya stendi newala? Ama kweli kipenda roho......

Kwani hyo mishkaki anaichoma mpaka kitandani?
Unituwe we muhaya.
Na mdogo wako nimemuacha,sasa fanya lolote,
kwani nyie ukoo wenu hamjui kuachwa ee!!!
Na bado.
 
Last edited by a moderator:
Ulikuja kwa upole sasa umeamua kutukana watu.. Shika adabu yako.

Nicas Mtei una nongwa wewe!
Na ungekuwa mwanamke ungekuwa ushaolewa na kuachika mara 5.
Sasa cha ajabu alichokosea ni nini?
Kwani kataja majina?
Acha hzo dogo,tutakuhamisha mji,ohoo...
 
Last edited by a moderator:
Wana Chit Chat
Nawasalimu, habari za kutwa.

Kutokana na maombi ya wana chiti chat wengi kuomba ngoma ya msuto ya MKODOBWE, nimeona ni vyema sasa ngoma hiyo ikarasimishwa hapa chit chat ili kupunguza majungu na umbea kwa baadhi ya watu humu jukwaani.

Jamani kuna mijanadume mimbea kha! Hata sijui wamelishwa kitu gani sijui.

Sasa basi, hapa chini ifuatayo ni timu nzima ya msuto ya MKODOBWE:

Kungwi: Madame B
Manju: cacico
Mpiga zumari: snowhite
Mpiga kigoma cha Kilugwai: Kipipi
Mpiga Mbeta: charminglady
Mpiga nyanga: Ciello
Mpiga chapuo: lara 1
Mpiga filimbi: Preta
Wa kuchagiza: sweetlady

Kwa upande wa vigelegele watakuwepo hawa wafuatao: Asnam, Nyamayao, gfsonwin, @FP, Remmy, Smile, marejesho, MadameX, FirstLady 1 na shogangu Lisa

Natoa tahadhari kwa hawa wafuatao maana mienendo yao sio mizuri hapa Chit chat kwa kuchapa umbea na wajiangalie goma la MKODOBWE lisije kuwaangukia
Yo Yo, manoah, platozoom, na Baba V
Nicas Mtei atakuwa kwenye kitengo cha usafiri akishirikiana na @C6

Sitaki Maswali

ALAMSIKI.

umesahau kusema sare
either tukatafute madira
au vitambaa vya mpira kwa kisukuna
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi kwi! MANJU mie nimepitwajeeeeeeee?? Zinduna shostito kwanza asalam aleykum! pili nashukuru kwa cheo ulichonipatia nimekikubali kwa moyo mmoja!! tatu napenda kuwaasa watu woteeeeeee wenye ndimi ka joka la ccm na wasio na staha kwa wadada wa cc, kuanzia sasa wakae kwa adabu na kutafakari kabla ya kuongea! watasutwa asubuhi kabla maua ya saa nne hayajachanua! tabia za ngisi za kuzama topeni mwa bahari hatuzitaki, kama we kidume kweli na unajiamini, kuwa kaa tukukute ufukweni! muwe na siku njema!
 
Last edited by a moderator:
Wana Chit Chat
Nawasalimu, habari za kutwa.

Kutokana na maombi ya wana chiti chat wengi kuomba ngoma ya msuto ya MKODOBWE, nimeona ni vyema sasa ngoma hiyo ikarasimishwa hapa chit chat ili kupunguza majungu na umbea kwa baadhi ya watu humu jukwaani.

Jamani kuna mijanadume mimbea kha! Hata sijui wamelishwa kitu gani sijui.

Sasa basi, hapa chini ifuatayo ni timu nzima ya msuto ya MKODOBWE:

Kungwi: Madame B
Manju: cacico
Mpiga zumari: snowhite
Mpiga kigoma cha Kilugwai: Kipipi
Mpiga Mbeta: charminglady
Mpiga nyanga: Ciello
Mpiga chapuo: lara 1
Mpiga filimbi: Preta
Wa kuchagiza: sweetlady

Kwa upande wa vigelegele watakuwepo hawa wafuatao: Asnam, Nyamayao, gfsonwin, @FP, Remmy, Smile, marejesho, MadameX, FirstLady 1 na shogangu Lisa

Natoa tahadhari kwa hawa wafuatao maana mienendo yao sio mizuri hapa Chit chat kwa kuchapa umbea na wajiangalie goma la MKODOBWE lisije kuwaangukia
Yo Yo, manoah, platozoom, na Baba V
Nicas Mtei atakuwa kwenye kitengo cha usafiri akishirikiana na @C6

Sitaki Maswali

ALAMSIKI.

Shoga umejuaje????????? yan kuna janaume humu nina hamu nalo ka nini.... goma likianza naomba tu tumuanzie yeye, mwanaume mmbea sijapata kuona sijui karithi kha!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Patakuwa hapatoshi yan!!!!!!!!!!

IMG_4868.jpg
 
Kwani hyo mishkaki anaichoma mpaka kitandani?
Unituwe we muhaya.
Na mdogo wako nimemuacha,sasa fanya lolote,
kwani nyie ukoo wenu hamjui kuachwa ee!!!
Na bado.

Chimbuvu tunamwendea kizimkazi,kama kichwa hakijaangalia nyuma.
 
Last edited by a moderator:
umesahau kusema sare
either tukatafute madira
au vitambaa vya mpira kwa kisukuna

hakuna cha dera wala vitambaa.... sare ndo kama hii hapa, inamaanisha hatariiiiiiiiiii...... GUSA UNATEEEEEEE

IMG_4868.jpg
 
Shoga umejuaje????????? yan kuna janaume humu nina hamu nalo ka nini.... goma likianza naomba tu tumuanzie yeye, mwanaume mmbea sijapata kuona sijui karithi kha!!!!!!!!!!!!!!!!
charminglady,hawara yako hajambo? Nasikia jana alisahau kuja na ndom,sasa ilikuwaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom