wewe nawe ndimu kweli, akutake nani sura yenyewe hiyo nitonye mrembo,yaani ukipishana na mwanaume njiani basi kakutaka
hawana lolote hawa,mi mwenyewe tu nawatosha
Madame B;
MImi NAJIUNGA kwa ajili ya KUMSUTA Baba V.
CC: Zinduna
Mh! wanafiki naona mpo busy'
hawana lolote hawa,mi mwenyewe tu nawatosha
subutu yako unisute uone kama sijakupiga mimba ya triplets uhangaike nayo,chezea tajiri wewe?Huyo Bishanga sitaki kumuona kwenye huu uzi maana ni ana umbea huyo sijaona mfanowe
Pamoja na kumsuta lakini bado yumo tu, kazi yake kukaanga mbuyu, kuwachia wenye meno watafune Loooooo!!!!