hayo ndiyo maelezo sahihi ya kidume! shemeji UBARIKIWE SANA! unajua kwanini nakuombea baraka, hivi gfsonwin bado yupo kwa madiba?? isijekuwa kenda kwenye ngoma ya king mswati, kaolewa na taarifa hatuna, ebo!?? hebu nijuzeni wenye taarifa zake!Nimekusikia shemeji cacico, siendi topeni miye utankuta ufukweni