Yah: Kuanzishwa kikundi cha MSUTO cha MKODOBWE!!!!!!!!!

Yah: Kuanzishwa kikundi cha MSUTO cha MKODOBWE!!!!!!!!!

Tena huyo Eliah nilisahau kumtaja, sijui ni mwanga, heee, yaani mie binti Zimkaya nikamsahau huyu Baradhuli!
Naye lazima awemo huyo

Huna ubavu wa kunisuta wewe mwanaharamu Zinduna usiye na hamu wala utamu.
 
Last edited by a moderator:
Thubutu yenu.
Mkitaka kuja kunisuta labda mkodishe Dar nzima ndio mje mnisute,lakini kwa nyie wawili,
Nitawatoa baru.
una uhakika ? kwani mdomo wako umefungiwa injini ya boeing?
 
debe tupu haliachi kushinda,hata taifa stars walijinadi hivo hivo kabla hatujabondwa na uganda,ada ya mja ni maneno muungwana ni vitendo,acha talalila mtoto wa kike.
hahahaha ulisutwa wewe ukapauka ka jiwe la kiama! Leo wajihashua hapa kitu gani?? Ngoja zamu yako yaja, na safari hii utawatofautisha funza wa maiti, na funza wa unyevu!!
 
kyonka naiwe nongwisa,omushaija alashana, omushaija aba manzi,omukazi wamulekela banyamahanga? akiki?
we na rutta mnapoelekea sipo hata kidogo!! mtaja sutwa mchana kweupeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
what you have said,to the best of my knowledge,and according to available irrefutable evidence,is absolutely true!
ps: nasikia katoto kanamfanana mdogo wake marehem Garang,dah,msura huo!
mtasutwajeeeeeeee? wanaume wapana ka lango la hekalu!!
 
Hahahahahahaha
Chimbuvu yaba na lila muno, tuli om contract yampa amahela.
Leka tumulokole yaba nayenda kuyeita.

kyonka naiwe nongwisa,omushaija alashana, omushaija aba manzi,omukazi wamulekela banyamahanga? akiki?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom