Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,726
Sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za Dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku wakishinikizwa na vijana "UWT" kuwa wapunguze kura hizo na kuwa ni agizo kutoka juu. Baadhi ya wasimamizi wametishiwa hata kuhamishwa baada ya uchaguzi au kushushwa vyeo.
UWT wanatumia mwanya wa wagombea ubunge kuwa bize na kura zao zisiibiwe huku wakiziacha za Dr. Slaa bila ulinzi. Lengo la kupunguza kura za Dr. Slaa ni ili kutimiza ndoto za JK kushinda kwa zaidi ya 80%.
Habari ndiyo hiyo.