Elections 2010 YAFAHAMIKA: Kura za Dr. Slaa zinapunguzwa kwa amri

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
1,093
1,726
Sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za Dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku wakishinikizwa na vijana "UWT" kuwa wapunguze kura hizo na kuwa ni agizo kutoka juu. Baadhi ya wasimamizi wametishiwa hata kuhamishwa baada ya uchaguzi au kushushwa vyeo.

UWT wanatumia mwanya wa wagombea ubunge kuwa bize na kura zao zisiibiwe huku wakiziacha za Dr. Slaa bila ulinzi. Lengo la kupunguza kura za Dr. Slaa ni ili kutimiza ndoto za JK kushinda kwa zaidi ya 80%.

Habari ndiyo hiyo.
 
Hawa watu wamelewa madaraka mpaka wanawapuuza wananchi.Inasikitisha sana.:A S angry:
 
Sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za Dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku wakishinikizwa na vijana "UWT" kuwa wapunguze kura hizo na kuwa ni agizo kutoka juu. Baadhi ya wasimamizi wametishiwa hata kuhamishwa baada ya uchaguzi au kushushwa vyeo.

UWT wanatumia mwanya wa wagombea ubunge kuwa bize na kura zao zisiibiwe huku wakiziacha za Dr. Slaa bila ulinzi. Lengo la kupunguza kura za Dr. Slaa ni ili kutimiza ndoto za JK kushinda kwa zaidi ya 80%.

Habari ndiyo hiyo.

Hawatatawala
 
Mwanzo wa machafuko, habari ndo hiyo
 
sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku wakishinikizwa na vijana "uwt" kuwa wapunguze kura hizo na kuwa ni agizo kutoka juu. Baadhi ya wasimamizi wametishiwa hata kuhamishwa baada ya uchaguzi au kushushwa vyeo.

Uwt wanatumia mwanya wa wagombea ubunge kuwa bize na kura zao zisiibiwe huku wakiziacha za dr. Slaa bila ulinzi. Lengo la kupunguza kura za dr. Slaa ni ili kutimiza ndoto za jk kushinda kwa zaidi ya 80%.

Habari ndiyo hiyo.

kwa kuwa upigaji kura ulikuwa wa amani na utulivu hadi hatua ya kuhesabu kura na mawakala kuweka sahihi zao, chadema inatakiwa kuwa na kikosi maalum cha kujumlisha kura za dr slaa kila jimbo na kutuma matokeo makao makuu ambapo dr slaa atatangaza kwa mujibu wa fomu za matokeo amepata kura ngapi ili tujue hata kama wametuchakachua
.
 
mkwere anajua hapendeki lkn hataki kupata fedheha mungu atamuadhibu we mwache tu.
 
Kabisa naweza kukubaliana na taarifa hii, jamaa anataka aonekane anapendwa ajidanganye yeye na wenzie!! si utani tatizo ninaloliona mimi kuna majimbo CHADEMA haikuweka wagombea, sasa kuna uwezekano mkubwa hata mawakala huko hakuna wa kuweza kuleta matokeo ya vituo. Kwa hilo basi kwa wale ambao majimbo matokeo tayari nashauri hata wawaombe mawakala wa vyama vingine ili kujua matokeo ya vituoni na kuweza kujumlisha ili kuona kama tume yao itatangaza tofauti.
 
brother hakuna cha slaa wala slow ccm itatawala nchi hii mpaka kiyama mpaka pale waTZ watakapo amka kwenye usingizi mzito
 
Jamani hii mijitu ni mijizi kama nini, wanaudhi mnooo. Nilianza kuwa na wasiwasi siku ya uchaguzi baada ya kukosa fomu za kujaza matokeo ya Raisi. Hawana maana. It means zile fomu walizoficha ndizo watakazotumia kujaza hayo wanayotaka wao. I hate them:A S angry:
 
Nyinyi wanajamii forum mnaojiita wasoma acheni kua wajinga...pumbafu nyie

Mkishinda mnashangilia ila mkiona mnakaribia kushindwa ndio mnaanza kulalamika.
Hivi usomi wenu uko wapi???pale kwenye ukweli simameni kwenye ukweli...acheni kulalamikia ujinga.

Habari ndio hiiioooooooooooooooo
CCM is so leadiiing....

pumbaf wakubwa
 
Sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za Dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku wakishinikizwa na vijana "UWT" kuwa wapunguze kura hizo na kuwa ni agizo kutoka juu. Baadhi ya wasimamizi wametishiwa hata kuhamishwa baada ya uchaguzi au kushushwa vyeo.

UWT wanatumia mwanya wa wagombea ubunge kuwa bize na kura zao zisiibiwe huku wakiziacha za Dr. Slaa bila ulinzi. Lengo la kupunguza kura za Dr. Slaa ni ili kutimiza ndoto za JK kushinda kwa zaidi ya 80%.

Habari ndiyo hiyo.

Mwongo wewe
 
Nyinyi wanajamii forum mnaojiita wasoma acheni kua wajinga...pumbafu nyie

Mkishinda mnashangilia ila mkiona mnakaribia kushindwa ndio mnaanza kulalamika.
Hivi usomi wenu uko wapi???pale kwenye ukweli simameni kwenye ukweli...acheni kulalamikia ujinga.

Habari ndio hiiioooooooooooooooo
CCM is so leadiiing....

pumbaf wakubwa

Umetoka mitaa ya Ohio hapo shughuli usiku mbona wewe mchana hivi
 
Back
Top Bottom