Elections 2010 YAFAHAMIKA: Kura za Dr. Slaa zinapunguzwa kwa amri

brother hakuna cha slaa wala slow ccm itatawala nchi hii mpaka kiyama mpaka pale waTZ watakapo amka kwenye usingizi mzito

Watanzania walishaamka siku nyingi ndugu yangu, walikuwa wanasubiri kuanza kutembea. Kwa uchaguzi huu watanzania wamepewa nguvu na moyo kwamba inawezekana pasiposhaka kuitoa CCM madarakani na Tanzania ikaendelea. Mshindi katika uchaguzi huu sio CCM wala CHADEMA, ni watanzania wenyewe. Kilichofurahisha zaidi katika uchaguzi huu ni kwamba wasomi na wakaazi wa mijini wamechukua jukumu lao la kuongoza mageuzi kikamilifu. I will write more on this in future.
 
brother hakuna cha slaa wala slow ccm itatawala nchi hii mpaka kiyama mpaka pale watz watakapo amka kwenye usingizi mzito

mpumbavu kweli wewe aliyekuambia kuna mtu aliyelala ni nani kama si wewe mwenyewe ulolala? Ongea kama mwenye akili timamu au nawe ni kati ya wale wanaoulizwa kwanini nchi yako masikini unasema hujui pumbaf.
 
Nakose tafadhali kama huna la kuchangia hama blog hii. hivi wewe kwenu ni Chalinze? na hata kama ndo hivyo nchi hii si ya chichiemu wala wewe na baba yako jei kei. Hacha ujinga.
 
aache unafki
Nakose tafadhali kama huna la kuchangia hama blog hii. hivi wewe kwenu ni Chalinze? na hata kama ndo hivyo nchi hii si ya chichiemu wala wewe na baba yako jei kei. Hacha ujinga.
 
Nyinyi wanajamii forum mnaojiita wasoma acheni kua wajinga...pumbafu nyie

Mkishinda mnashangilia ila mkiona mnakaribia kushindwa ndio mnaanza kulalamika.
Hivi usomi wenu uko wapi???pale kwenye ukweli simameni kwenye ukweli...acheni kulalamikia ujinga.

Habari ndio hiiioooooooooooooooo
CCM is so leadiiing....

pumbaf wakubwa

:nono:
 
ndani ya hii maka mitano tutapeleka nduvu kijjini nao watambue kuwa wanaweza kuleta mabadiliko makubwa ktk nchi hi kama wakisimamia kura zao zisiibiwe, kwani this tyme mijambazi imefanikiwa kuiba sana vijijini na pale wanavijiji walipokomaa basi ndo police wamtumika na masanduku kuchomwa moto kama ilivyshuhudiwa, shame on jk na wenzie
 
Nilishapata mashaka hayo tangu siku ya kwanza lewis aliyokuwa anasoma matokeo.
Mzee wa watu anamtumikia SHETANI kwa dhamira zote
 
NAKOSE NAKOSE NAKOSE tafadhali usitutukane humu. Hii JF ni sehemu ya kuchangia kiungwana na si matusi. kama unataka matusi fungua website yako ukatukanane na wenzio wa aina yako. Tuonakuonya uache mara moja la sivyo tutakuchukulia hatua usifikiri sie hatukujui ww ni nani. please , watch your mouth! km huna cha kusema bora unyamaze kimya.:thinking:
 
Watanzania walishaamka siku nyingi ndugu yangu, walikuwa wanasubiri kuanza kutembea. Kwa uchaguzi huu watanzania wamepewa nguvu na moyo kwamba inawezekana pasiposhaka kuitoa CCM madarakani na Tanzania ikaendelea. Mshindi katika uchaguzi huu sio CCM wala CHADEMA, ni watanzania wenyewe. Kilichofurahisha zaidi katika uchaguzi huu ni kwamba wasomi na wakaazi wa mijini wamechukua jukumu lao la kuongoza mageuzi kikamilifu. I will write more on this in future.
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom