Yaani kushoboka ndo nimeshindwaga kabisa

Sasa mie umeona najiliza JF km wee?

Wee sema sistazi duu wamekukaushia na wee ukajifanya mwamba, kumbe uchungu moyoniii..
Poleee wee, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
afu si cocastic ulisema mwenyewe P.M una ukimwi
 
IMG-20240110-WA0167.jpg
 
Nausubiria uzi wako mwengine utaosema LEO NIMEPENDEZA MASISTER DUU WAMESHINDWA KUNITONGOZA๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Aisee kushoboka ni kazi ngumu sana kuna sehemu nimekaa wamekuja mademu masister duh wawili Ata kunipa hi hawajanipa aisee na mimi nimewakaushia

Udhaifu wa kushobokea kumpa mtu salamu aliyenikuta sehemu ndo nimeshindwaga kabisa

Mi naona nipo sahihi au mnasemaje waungwana?
Upo sahihi, vidada vya namna hiyo huwa vinajikuta sana
 
Sasa km ni kawaida kwako, umeleta hapa ili iweje?
Imekuuma sistazi duu wamekulia buyuu, hapo umejawa na uchunguu. Lol
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sio uumgwana, toa hi kwa watu
 
Sasa km ni kawaida kwako, umeleta hapa ili iweje?
Imekuuma sistazi duu wamekulia buyuu, hapo umejawa na uchunguu. Lol
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Acha bas ๐Ÿ˜ƒ ๐Ÿ˜€
 
Aisee kushoboka ni kazi ngumu sana kuna sehemu nimekaa wamekuja mademu masister duh wawili Ata kunipa hi hawajanipa aisee na mimi nimewakaushia

Udhaifu wa kushobokea kumpa mtu salamu aliyenikuta sehemu ndo nimeshindwaga kabisa

Mi naona nipo sahihi au mnasemaje waungwana?
HAYATUHUSU.
 
Huko sawa.Ubaya ubwela,sema CCM hovyo kabisa wamechomoa cable kwa Mkapa tukafungwa.
 
Huyo aliyevaa jeans nyeusi alikupungua mkono, ni vile hukumshtukia.
 
Aisee kushoboka ni kazi ngumu sana kuna sehemu nimekaa wamekuja mademu masister duh wawili Ata kunipa hi hawajanipa aisee na mimi nimewakaushia

Udhaifu wa kushobokea kumpa mtu salamu aliyenikuta sehemu ndo nimeshindwaga kabisa

Mi naona nipo sahihi au mnasemaje waungwana?
Nini kiliendelea baada ya hapo?
Lakini pia umefanya vyema kabisa kutokurupuka.

Ila kama salamu haigombi ungewapa tu kisha ukakausha mdogo mdogo huku ukisoma ramani ya mchezo.

Hao ni viumbe wetu tumeumbiwa na madhaifu Yao ndiyo nafasi yetu ya kuanza nao.
 
Back
Top Bottom