Yaani kushoboka ndo nimeshindwaga kabisa

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,980
Reaction score
4,390
Aisee kushoboka ni kazi ngumu sana kuna sehemu nimekaa wamekuja mademu masister duh wawili Ata kunipa hi hawajanipa aisee na mimi nimewakaushia

Udhaifu wa kushobokea kumpa mtu salamu aliyenikuta sehemu ndo nimeshindwaga kabisa

Mi naona nipo sahihi au mnasemaje waungwana?
 
Sasa km ni kawaida kwako, umeleta hapa ili iweje?
Imekuuma sistazi duu wamekulia buyuu, hapo umejawa na uchunguu. Lol
😂😂😂😂
Hamna kama na wewe unazo izo tabia ndo uache dharau sio nzuri,haijaniuma wala nini ,maana nikihitaji pisi yoyote napata pesa ipo
 
Sasa mie umeona najiliza JF km wee?

Wee sema sistazi duu wamekukaushia na wee ukajifanya mwamba, kumbe uchungu moyoniii..
Poleee wee, 😂😂😂😂😂😂
 
Aisee kushoboka ni kazi ngumu sana kuna sehemu nimekaa wamekuja mademu masister duh wawili Ata kunipa hi hawajanipa aisee na mimi nimewakaushia

Udhaifu wa kushobokea kumpa mtu salamu aliyenikuta sehemu ndo nimeshindwaga kabisa

Mi naona nipo sahihi au mnasemaje waungwana?
Utoto tu unakusumbua mtoto wa mama ntu.
 
Back
Top Bottom