SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,953
Nini kiliendelea baada ya hapo?Aisee kushoboka ni kazi ngumu sana kuna sehemu nimekaa wamekuja mademu masister duh wawili Ata kunipa hi hawajanipa aisee na mimi nimewakaushia
Udhaifu wa kushobokea kumpa mtu salamu aliyenikuta sehemu ndo nimeshindwaga kabisa
Mi naona nipo sahihi au mnasemaje waungwana?
Lakini pia umefanya vyema kabisa kutokurupuka.
Ila kama salamu haigombi ungewapa tu kisha ukakausha mdogo mdogo huku ukisoma ramani ya mchezo.
Hao ni viumbe wetu tumeumbiwa na madhaifu Yao ndiyo nafasi yetu ya kuanza nao.