kushoboka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Yaani kushoboka ndo nimeshindwaga kabisa

    Aisee kushoboka ni kazi ngumu sana kuna sehemu nimekaa wamekuja mademu masister duh wawili Ata kunipa hi hawajanipa aisee na mimi nimewakaushia Udhaifu wa kushobokea kumpa mtu salamu aliyenikuta sehemu ndo nimeshindwaga kabisa Mi naona nipo sahihi au mnasemaje waungwana?
Back
Top Bottom