Ikikushinda utashindwa na kila kitu. Badilisha matatizo kuwa fursa. Tumia hiyo kama fursa yakubadilisha utulivu wako wa ndani (inner peace) ili ikakusaidie hata kwenye maisha ya nje ya ndoa. Matatizo hayakimbiwi, unakabiliana nayo na utashinda mpaka utajishangaa.Kama kichwa cha habari kinasema wadau
Mimi ndoa imenishinda fikiria huyuu mwanamke tumezaa watoto 2 lakini asaivii kabadilika ety akitoka kuoga mimi ananiambia nitoke nje nitamchungulia hii ni haki kweli
Muhimu asiachane kimya kimya.....atuandalie bonge la party USIKU WA TALAKA haipendezi kuachana kimya kimya kwakweliKashakushusha cheo, wewe sio mume wake. Lazima kuna mtu kauteka Moyo wake... Pole sana.
Anza mipango ya talaka, nawe ukapate wako wakumuona kila kitu
Kaka kula pombe ukichunguza utachanyikiwaKwa hichi kizazi chetu chunguza vizuri wanaooa ukipata majibu kaa nayo mwenyewe
Haijakushinda ni mind set yako tu imenasa negativity za ndoa nyingine sasa inaapply na kwako..Kama kichwa cha habari kinasema wadau
Mimi ndoa imenishinda fikiria huyuu mwanamke tumezaa watoto 2 lakini asaivii kabadilika ety akitoka kuoga mimi ananiambia nitoke nje nitamchungulia hii ni haki kweli
Eti mimi sina dini 🤣🤣🤣🤣Mimi sina dini ujue😅
Nimegonga dona foil na mtindi hapa sielewi😁Nasubir hii game ya CCM na Rayon sports iishe nikapoe roomKaka kula pombe ukichunguza utachanyikiwa
Tuanzie hapa,kwani hao watoto 2 wakati mnawatafuta mlikuwa mmevaa nguo...Kama kichwa cha habari kinasema wadau
Mimi ndoa imenishinda fikiria huyuu mwanamke tumezaa watoto 2 lakini asaivii kabadilika ety akitoka kuoga mimi ananiambia nitoke nje nitamchungulia hii ni haki kweli
Unakula matunda ya uwekezaji wakati wengine wanavizia salary advanceYa tano bwashee
Hamna cha jinsia gn hapo mkuu, huyo ni Sinsia Khan tuWe jinsia gani?