Msambichaka Mkinga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 1,646
- 2,911
Ule upuuzi uliofanyika hapa Mwanza siku JPM alipohutubia Furahisha ulinifanya nichukie tukio zima la ujio wa Rais Mwanza. Ilikuwa ni kero ambayo ilizidi hata ile iliyowahi kutangulia. Barabara Mwanza ni chache sana, halafu wakazifunga karibia zote tena kwa masaa mengi. Shida ya Mwanza, hakuna barabara isiyounganika na ile iendayo airport. Kwa hiyo kiongozi akija tu Mwanza ni kero karibia kwa kila mwananchi, labda kwa wale tu ambao huwa hawana kazi yoyote ya kufanya.
Ni muhimu kufikiria uwezekano wa viongozi wakuu wa kitaifa wakifika Mwanza, watumie chopa ili kutuondolea mateso na usumbufu.
Ni muhimu kufikiria uwezekano wa viongozi wakuu wa kitaifa wakifika Mwanza, watumie chopa ili kutuondolea mateso na usumbufu.
mwanza walifunga barabara zote kuanzia SAA 10 mpaka 12yaan haijawai kutokea in kero kubwa sana wahusika waliangalie, tena wanafunga barabara hata ambazo hazipiti msafara