Hujaelewa hoja. Unachosha kwa uelewa wako finyuKwa hiyo mnataka viongozi wasipite? Mnachosha na lawama zenu...!!!?
Hoja ni muda mrefu utumikao. Wewe unajua protokali kuliko mimi? Haya,usiku mwema!Wewe ndo uelewa mdogo jifunze mambo na sio kila jambo kuleta jukwaani lijadiliwe hii inaleta taswira jinsi gani ulivyo na uelewa mwembamba kwenye mambo ya kiprotokali kama haya!!ujuaji mwingi akili fupi.
Nilijua tu hii kitu inajitahidi sana kupaka rangi nyeupe hata kweny nyeus tu. Ili mradi ionekane bora na ipewe kiti cha uongozi.Kwani wewe upo wapi na hiyo misafara imetokea wapi? Kwa kawaida kusubiri msafara ni jambo la kawaida popote ulimwenguni
Nadhani wewe ni mwongo. msafara wa kiongozi nategemea mhusika anakokwenda, wakati kila barabara uelekea destination yake. Aidha hakuna barabara maalum inayojengwa kwa ajili ya msafara wakiongozi fulani. Kwa hiyo mara zote msafara wa kiongozi utabughudhi watumiaji wengine wa barabara. Ulichokiona huko SA, kama ni kweli, inawezekana ilikuwa isolated case ambayo huwezi ku-draw au ku-extrapolate general conclusion. Tujifunze kufikiri na kuto-underutilise mbongo zetu.Sio popote ulimwenguni mkuu.Kuna nchi mfano South Africa misafara huwa inakuwa aidha pembeni ya high way/yellow line ama inapita barabara ya juu huku wengine wakipita barabara za chini.
Kumbe ni binti huyo? me nkajua lijizee limoja lisilojielewa!!!Wewe binti una mambo sana.
Mzee Tupatupa