Ya Leo Leo..... Nimekubalie? ?!!

Ya Leo Leo..... Nimekubalie? ?!!

Wow!! Kakubandua leo leo ! Ndo maana tumewafanya cheap ninyi

Sio tuu cheap sema chips, sababu ni chakula kitamu kinachopendwa na wavulana wanaume na wababu. Wote hao wakiona chips ziko kwenye karai zinakaangwa hawataki kusubiri wanataka wafakamie chips nyingi kadri awezavyo kutafuna wakati ni junk food.

Mla chips na mliwa. ..... tofauti yao ni nini?

Jasusi wa Mahaba Kasie
 
Jasusi wa Mahaba Kasie[/QUOTEl]
Enh jasusi WA mahaba mbona mm sipendi chips,ko jamaa kala chips hajamaliza?
 
Moja yakitu sikuwahi kujua yakwamba msichana anaweza akakupenda ila akashindwa kukwambia. Sasa mkuu niambie ni dalili zipi naweza nikazigundua kuwa msichana huyu ananipenda ila anashindwa kuniibukia
 
Moja yakitu sikuwahi kujua yakwamba msichana anaweza akakupenda ila akashindwa kukwambia. Sasa mkuu niambie ni dalili zipi naweza nikazigundua kuwa msichana huyu ananipenda ila anashindwa kuniibukia

Anakuwa anakuonea aibu hawezi kukuangalia usoni, hajawahi kukukasirikia, ukimuomba akusaidie kazi au kufanya jambo au ukimtuma kitu hakatai atakifanya fastaa.

Hayo ni baadhi tuu na si wanawake wote hufanya hivo.
 
Habari za jioni waungwana.

Leo mchana nilitoka kwenda ofisi flani hivi, ni eneo la kutembea kwa miguu, nikiwa kwenye hiyo ofisi hamadi nikakutana na huyu mbaba. .... tulifahamiana miaka hiyoo wakati tuko vijana.

Sasa huyu baba mie nilimpenda sana kipindi hicho tuko waschana, ila yeye akawa ananivalia miwani myeusi. Mie na aibu zangu nikawa namezea nisubiri siku anitongoze mweeh. Hapo kati nikiwa nasubiri anianze yeye akatokea mschana flani hivi huyo mschana ni mchangamfu wale ambao alienda mahali kama ni mgeni basi dakika 10 zinazokata anakuwa mwenyeji, ni muongeaji mnoo. Huyu mschana nae alimpenda mbaba niliyempenda wakati huo ila yeye hakulaza damu akamwambia kisha wakaanza kuwa karibu. Mie roho ikaniuma nikaondoka eneo nililokuwaa naishi ili nisiwaone.

Miaka chungu tele imepita leo ndo tumekutana tena yeye ndo alinikumbuka, Kasie habari yako.... hubadiliki uko Vilevile na sura yako tangu kaschana nikacheka kisha tukasalimiana. Baada ya salamu akaniomba tukishapata huduma hapo anahitaji kuongea na mimi. Nikamwambia sawa......

Kufika eneo la tukio ananikumbushia mambo ya miaka ile kuwa aliona vile nampenda ila akiwa anataka kuniambia akatokea yule mschana akambana. Hivo anaomba tuendeleze mahaba yetu maana hata yeye hadi sasa yuko singo.... looh

Nikamwambia mambo hayo.mie nshaacha. ... akasema tuwahi kurudi mahala pa kazi ila sikiliza huu wimbo tafadhali.

Kaomba kesho tuonane tuyajenge. .... hapa nautafakari huu wimbo.....

Hajui Kasie amekuwa jasusi wa mahaba hehehehee shauri yake looh.

Kasie Matata.
Mpe tu ana hica za mda mrefu juu yako
 
Anakuwa anakuonea aibu hawezi kukuangalia usoni, hajawahi kukukasirikia, ukimuomba akusaidie kazi au kufanya jambo au ukimtuma kitu hakatai atakifanya fastaa.

Hayo ni baadhi tuu na si wanawake wote hufanya hivo.
Thanks
 
Asanteeee kasie kiasali
 
Kasie kiasali baana! unaniacha hoi kwa post zako. Mtunuku tu huyo babu ajione na yy anaishi hahaha
 
Back
Top Bottom