Ya Leo Leo..... Nimekubalie? ?!!

Ya Leo Leo..... Nimekubalie? ?!!

Sawa.
Baada ya wew kumkubalia tu.
Utuletemrejesho nini kilijiri
 
Hana shida , maswali yamepungua kiasi. Basi huwa nikikaa naitizamaa weeee hlf nakumbuka asali na kiasali cha unyamwezini kule maana almanusra mnitenganishe na ndoa yangu miaka ile nimeenda kikazi ,nyie wanyamwezi niliwapa respect hahahahaa

Aahahahahahahaa wanyamwezi ni hatarii, bora ukae nao mbali tuu maana hatunaga ajizi linapokuja swala la kubeba mizigo mizito.

Thanks for the respect. Kwahiyo safari ya treni nae atakuwepo au atakuelewa tuu kuwa unaenda Tabora na Kasie Kiasali?
 
Back
Top Bottom