Ya Leo Leo..... Nimekubalie? ?!!

Ya Leo Leo..... Nimekubalie? ?!!

Umeamua kuja kunianika huku kweli Kasie.
BTW usivunje promise yetu Fanya tuonane Leo.

Huku ndo nyumbani ndo sebleni ndo chumbani ndo kijiji cha Kasie. Habari zote za Kasie nazisimuliaga huku.

Basi tupate mlo wa mchana pamoja leo mchana eneo tulilokubaliana jana, usichelewe kufika.
 
Asanteeee kasie kiasali

Usipotee sana bana unafanya hadi nasahau jina langu la Kasie Kiasali heheheheh

Ngoja reli itengemae nikija bongo tupange safari ya Tabora tukale asali.... au hutopata ruhusa?
 
Umeniwahi tu hapa nilikuwa nakuandalia sms ya kukuomba hilo hilo unaloniambia hehehheeeee
 
Kasie kiasali baana! unaniacha hoi kwa post zako. Mtunuku tu huyo babu ajione na yy anaishi hahaha

Hahahahaaa ni kweli imetokea, hadi saa hizi bado sijaamua kama nimekubali au laah. Aliniumiza sana kipindi niko mschana..... saa hizi ni kama ananiletea makombo nile, anyways ngoja nione leo tukikutana kupata mlo wa mchana ntampa jibu lake moja tuu....

One night stand YES.... mahusiano NO... kama hawezi asepe.

Kasie Jasusi Kiasali Matata.
 
Picha ipi hiyoo??
Aaaaaaanh Kasie kiasaliiiii!! si ile nimeiweka kwa whatsup yangu nikawa naulizwa siku zile nimekwambia!? au huyo babu huko south anakuchanganya! hahahahaaaa
 
Huku ndo nyumbani ndo sebleni ndo chumbani ndo kijiji cha Kasie. Habari zote za Kasie nazisimuliaga huku.

Basi tupate mlo wa mchana pamoja leo mchana eneo tulilokubaliana jana, usichelewe kufika.
Amina .
 
Umeniwahi tu hapa nilikuwa nakuandalia sms ya kukuomba hilo hilo unaloniambia hehehheeeee

Basi mvua zikianza tuwasiliane ili tupange tarehe ya safari, najua ndege ipo ila nataka nisafiri na treni maana siku nzima ndani ya treni pia ni kautalii flani hivi. Au unaogopa kupanda treni? Mie basi hapana ikishindikana treni bora ndege.
 
Treni ndio poa zaidi na kwa hali ya hewa hii, ile misitu ya Tura kule ndani ndani mbona itakuwa burudani tosha
 
Aaaaaaanh Kasie kiasaliiiii!! si ile nimeiweka kwa whatsup yangu nikawa naulizwa siku zile nimekwambia!? au huyo babu huko south anakuchanganya! hahahahaaaa

Aahahahahaaa aah nisamehe buree uzee ni shiiiddeeer nimesahau. Kwahiyo DP yako ya whatsapp hadi sasa hivi inaonekana taswira yangu?
Hahahahahaa hunitakii mema wewee.... unataka nikija bongo nianze kumwagiwa maji ya moto? Kugombana siwezi ujue japo niko mchokozi heheheheh.
Hata my wife wako ameridhia kabisa niendelee kukaa kwenye DP yako?

Maswali yameisha? Yaani hawakuulizi tena?
 
Treni ndio poa zaidi na kwa hali ya hewa hii, ile misitu ya Tura kule ndani ndani mbona itakuwa burudani tosha

Hahahahahhahaaa tukipita misituni tunalala.
 
Aahahahahaaa aah nisamehe buree uzee ni shiiiddeeer nimesahau. Kwahiyo DP yako ya whatsapp hadi sasa hivi inaonekana taswira yangu?
Hahahahahaa hunitakii mema wewee.... unataka nikija bongo nianze kumwagiwa maji ya moto? Kugombana siwezi ujue japo niko mchokozi heheheheh.
Hata my wife wako ameridhia kabisa niendelee kukaa kwenye DP yako?

Maswali yameisha? Yaani hawakuulizi tena?
Hana shida , maswali yamepungua kiasi. Basi huwa nikikaa naitizamaa weeee hlf nakumbuka asali na kiasali cha unyamwezini kule maana almanusra mnitenganishe na ndoa yangu miaka ile nimeenda kikazi ,nyie wanyamwezi niliwapa respect hahahahaa
 
Back
Top Bottom