nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
kwa hapa upinzani wana hoja ya msingi. magu aliapa kulinda katiba lakini kinyume chake anaivunja kwa mikono yake...
Acha bhange wewe Chato huwezi kupalinganisha na Monduli wala huko Hai, Niambie kidogo tu ndiyo mfano wa mapungufu ya watu wako uliowaamini Monduli ni wilaya ya miaka mingi sana kabla ya chato lakini kuna njaa elimu na maji ni shida japokuwa mbunge wake amekuwa waziri wa maji, ardhi, na hatimaye waziri mkuu hata traffic light hakuna ila chato zipo huko hai ndiyo sisemi kabisa tabu kwenda mbele japokuwa mbunge wa huko anatamba kujua sheria na katiba sijui amewasaidia nini wanachi wa huko Mungu atahukumu ukweli na unafiki.Baba yako si apelike huko Hai kwa nini awe mbowe kwani wewe ni familia yako ni maiti au Magufuli Chato amekufanya Dubai si ni tajiri wa kutupwa
SHARIA NI HUKO KWENU HAPA SHERIA BADO UNAAMINISHWA KAVUNJA SHARIA TANZANIA HUTUONGOZWI NA SHARIA NENDA SUDANI NA MASHARIKI YA KATI NDIYO UTAKUTANA NA HAYO MADUDU YAKO.hizo sababu haziharalishi mtu anayetakia kusimamia sharia namba moja kuzivunja ndivyo madiktator walivyo duniani wanaaminisha kwamba wanasaidia wananchi ukweli ni kuwa huwa hawafuati sharia wala hawapendi kukoselewa wala kushauriwa hatutaki kwenda huko afuate utaratibu na sharia za nchi halafu aungwe mkono
mpumbavu mkubwa wewe sheria nenda wewe sudani alshabbab mkubwa wee unajuwa ukiandika sheria ukigonga space inabadirika kuwa shariaSHARIA NI HUKO KWENU HAPA SHERIA BADO UNAAMINISHWA KAVUNJA SHARIA TANZANIA HUTUONGOZWI NA SHARIA NENDA SUDANI NA MASHARIKI YA KATI NDIYO UTAKUTANA NA HAYO MADUDU YAKO.
kwa kwa chato yenye apartment za magufuli tu ndio mji utalinganisha na wilaya gani hapa nchi a failed person at home is a failed leader everAcha bhange wewe Chato huwezi kupalinganisha na Monduli wala huko Hai, Niambie kidogo tu ndiyo mfano wa mapungufu ya watu wako uliowaamini Monduli ni wilaya ya miaka mingi sana kabla ya chato lakini kuna njaa elimu na maji ni shida japokuwa mbunge wake amekuwa waziri wa maji, ardhi, na hatimaye waziri mkuu hata traffic light hakuna ila chato zipo huko hai ndiyo sisemi kabisa tabu kwenda mbele japokuwa mbunge wa huko anatamba kujua sheria na katiba sijui amewasaidia nini wanachi wa huko Mungu atahukumu ukweli na unafiki.
Amesema labda hivyo hana uhakikaTunaomba ukitaje
Ipo wapi hoja?
Utajuwa nini wewe kama kiongozi wako hajui
Hatuwezi kufanya jaribio kwenye gharama, hasa ukizingatia kwa hali ambayo serikali inavyojitahidi kubana matumizi na kukomesha mianya yote ya rusha, ila isingekuwa jitihada za kubana matumizi, basi ningependa hili Bunge livunjwe halafu uchaguzi urudiwe tuone iwapo wananchi watamwadhibu nani kati ya rais aliyetumia hela za sherehe kwenda kujenga barabara na madawati ama hawa wanahitaji hizo fedha kwa ajili ya kwenda nje kukagua nyumba za balozi, na wanao ng'ang'ania michakato, tume, etc?Hapa ndipo ninapowaona wapinzani ni wajinga. Hivi kwao sherehe za uhuru ni bora zaidi kuliko Ujenzi wa Barabara ya Mwenge to Morocco? Hivi tuna wapinzani wa aina gani katika nchi hii kiasi ambacho wanapinga hata hatua nzuri Inazochukuliwa na serikali. Najua inawauma sana kuona ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea kwa kasi na soon itafunguliwa. Poleni sana
Wenye fikra finyu hawezi kuona madhara ya kujiamlia mambo...sijui kama watu wanajua wanavyoibuka madikteta...kuna siku itaamrishwa kulala sa 1,kutoswali swala 5(iwe ijumaa tu) nk!ulizeni Zimbambwe,N/Korea walianzaje.Kibaya kutokana wengi wetu kukosa uelewa tumekuwa mashabiki wa kila kitu.Sasa hivi kuna ugumu sana wa maisha,hili ni kila kona.lakini watu wanalalamika kimya kimya.kuna majibu kama Kitwanga hakuna wakuuliza mbona bado yupo wakati wengine wamewekwa pembeni kwa tuhuma tu.Maono ya viongozi wetu yanaakisi pia upumbavu wetu.poor Tanzanians.Bora ningekuwa Somali ikajulikana moja kuliko kuwa sehemu ya nchi ililiojaa wapumbavu.Wasiojua kesho yao,
kwa hapa upinzani wana hoja ya msingi. magu aliapa kulinda katiba lakini kinyume chake anaivunja kwa mikono yake...
Hatuwezi kufanya jaribio kwenye gharama, hasa ukizingatia kwa hali ambayo serikali inavyojitahidi kubana matumizi na kukomesha mianya yote ya rusha, ila isingekuwa jitihada za kubana matumizi, basi ningependa hili Bunge livunjwe halafu uchaguzi urudiwe tuone iwapo wananchi watamwadhibu nani kati ya rais aliyetumia hela za sherehe kwenda kujenga barabara na madawati ama hawa wanahitaji hizo fedha kwa ajili ya kwenda nje kukagua nyumba za balozi, na wanao ng'ang'ania michakato, tume, etc?
Rais vunja Bunge halafu tuone nani atarudi ndani ya lile jengo.
hiyo mbowe hajui; tatizo linaanzia hapo.Bunge Lina sehemu mbili 1. Wabunge 2. Rais (civics ya form 2). Hivyo maamuzi ya Rais Ni maamuzi ya bunge.
Kwakua vinafanyika kwa Mizuka na wewe ndio vinakupandisha midadi?Hapo unakosea hivi ni busara kumwacha mgonjwa usimpe dawa mpaka aje na PF 3 wakati unaona amejeruhiwa lakini kwa akili ya kuzungusha mikono unamwambia kalete kwanza Pf3 ndipo nikutibu wakati unajua hawezi kufika kituo cha polisi atakuwa kafa kwa kuishiwa damu. Hata hivyo sikulaumu kwa mawazo yako na wewe umeona ni jambo baya kuhamisha fedha zikanunue madawa na vitanda hospitali ambazo ni milioni 500 wabunge wakizijadili zitabaki ngapi na kule zilikotakiwa kupelekwa watu watakauwa na hali gani? Sihitaji malumbano ni jambo la kupima kwa akili ya kawaida na halihitaji hata elimu ya form four kama ya Mbowe bali busara itawale.
Wewe ndio hujui kitu kweli kweli badala yakuwaonea huruma wazee wa mizukaNATAMANI BUNGE LIVUNJWE HAWA WATALII TUONE KAMA WATARUDI MJENGONI.
Queen Esther