Good reasoning, na kweli tutapata majibu kwa kiasi fulani by 99%, ingawa anaweza kutwambia severity ya impact of breaking the news ina differ! But this will not change the predicted 99% confidence intervalTuliambiwa yule mama mchapa kazi wa NIMRI alitumbuliwa kwasabb hakufuata utaratibu ktk kutangaza utafiti wa zika. Mojawapo ya utaratibu ambao hakuufuata ni kumtaarifu bosi wake waziri wa afya.
Sasa vp kuhusu hayu bosi wa EWURA? Alimtaarifu waziri wa Nishati Na Madini? Kama alimtaarifu mbona wanapingana hadharani? Kama hakumtaarifu kwann bosi huyu wa NIMRI naye asitumbuliwe?
Bosi wa EWURA asipotumbuliwa watz tutakuwa tumepata majibu ya maswali mengi tuliojiuliza kuhusu kutumbuliwa kwa mama wa NIMRI.
Hoja mfu kwa ajili ya wafuTuliambiwa yule mama mchapa kazi wa NIMRI alitumbuliwa kwasabb hakufuata utaratibu ktk kutangaza utafiti wa zika. Mojawapo ya utaratibu ambao hakuufuata ni kumtaarifu bosi wake waziri wa afya.
Sasa vp kuhusu hayu bosi wa EWURA? Alimtaarifu waziri wa Nishati Na Madini? Kama alimtaarifu mbona wanapingana hadharani? Kama hakumtaarifu kwann bosi huyu wa NIMRI naye asitumbuliwe?
Bosi wa EWURA asipotumbuliwa watz tutakuwa tumepata majibu ya maswali mengi tuliojiuliza kuhusu kutumbuliwa kwa mama wa NIMRI.
MFU NI WEWE ASIYEWEZA KUONA MANTIKI KUBWA YA POST HIYO, HAKIKA UMEKUFA UBONGO WA KUFIKIRIHoja mfu kwa ajili ya wafu
Tuanzie kwa MD wa Tanesco, alipoandaa ombi la kupandisha bei ya umeme alimtaarifu boss wake yaani Waziri kabla ya kupeleka ombi hilo Ewura? Hapa kuna tatizo kubwa. Wa kutumbuliwa ni wengi akiwepo Waziri mwenyeweTuliambiwa yule mama mchapa kazi wa NIMRI alitumbuliwa kwasababu hakufuata utaratibu katika kutangaza utafiti wa zika. Mojawapo ya utaratibu ambao hakuufuata ni kumtaarifu bosi wake waziri wa afya.
Sasa vipi kuhusu hayu bosi wa EWURA? Alimtaarifu Waziri wa Nishati na Madini? Kama alimtaarifu mbona wanapingana hadharani? Kama hakumtaarifu kwanini bosi huyu wa NIMRI naye asitumbuliwe?
Bosi wa EWURA asipotumbuliwa watanzania tutakuwa tumepata majibu ya maswali mengi tuliojiuliza kuhusu kutumbuliwa kwa mama wa NIMRI.
Ewe mfu, hoja hizi mbili wala hazina uwiano wowote hata ukipima impact yake. Shughulisheni bongo zenu.MFU NI WEWE ASIYEWEZA KUONA MANTIKI KUBWA YA POST HIYO, HAKIKA UMEKUFA UBONGO WA KUFIKIRI
Hujaenda shule ngoja nikuache MFU wa akili, ni mfu unayetembea!Ewe mfu, hoja hizi mbili wala hazina uwiano wowote hata ukipima impact yake. Shughulisheni bongo zenu.
U mfu wa hoja upo wapi kama hayo yote aliosema mleta mada yametokea? au wewe ndio msukule?Hoja mfu kwa ajili ya wafu
Ewe mfu, pima impact ya kile alichotangaza Malechela na hiki cha juzi? Hivi akili yako haioni ni kipi kiliteka jumuiya za kimataifa ghafla? Kama huoni hilo basi mie sina jinsi ya kukusaidia.Wewe Nyenyere mwenye uelewa mdogo kama nyenyere, impact ya kuongezeka kwa bei ya umeme ni tishio kwa tanzania ya viwanda. ni zaidi ya zika
Tuliambiwa yule mama mchapa kazi wa NIMRI alitumbuliwa kwasababu hakufuata utaratibu katika kutangaza utafiti wa zika. Mojawapo ya utaratibu ambao hakuufuata ni kumtaarifu bosi wake waziri wa afya.