Ya aliedai kudaiwa hongo na Muro

Ya aliedai kudaiwa hongo na Muro

mujusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2010
Posts
237
Reaction score
58
Jamani yule jamaa inasemekana ni Tajiri mkumbwa ambaye chanzo chake kinasemekana ni kuchota mamilioni toka mahali pake pa kazi na ikioneka watu wanastukia baadhi ya Wazee wanaomkingia kifua wanamhamisha kwenda pengine kuendeleza kuchota..Kama uliwahi fika moro ukiona hoteli nyingi zilioanza na GW--- ujue zake.
Inasemekana Dodoma ziko zingine kwa jina lingine.Kiboko zaidi alivyochukua jengo la ghorofa mbili la ofisi ya Chama kikuu na Kubadilisha kuwa Hotel kubwa hapo kati ya Mji wa Moro. Ikisemeekana kwamba ni mchango wake ili aweze kulindwa zaidi .
Je tutafika?
 
hatuwezi fika kwa staili hii, unless we change the way we are doing things men!
 
Mmmh naona hiki ki series cha ufisadi hakiishi leo,mwanzoni kalikuwa kanaboa,lakini sasa kanachekesha!!
 
Mkuu jaribu kuedit naona umekosea kosea kuandika umeandika kwa kupendelea kutumia hii Ikisemekana au kiswahili cha kwetu kule?
 
Mtiririko w habari mbaya, haionyeshi mojakwamoja mahusiano na issue ya Gerry Murro.
 
Back
Top Bottom