Xpower coffee vs xpower capsule

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Wakuu salamu.

Naomba kufahamishwa utofauti wa hivi virutubisho

Kati ya xpower coffee na xpower capsule kipi ni kizuri zaidi ya mwenzake na kipi mtu unaweza kukitumia pekee yake.

Naomba kujulishwa.
 
Wakuu salamu.

Naomba kufahamishwa utofauti wa hivi virutubisho

Kati ya xpower coffee na xpower capsule kipi ni kizuri zaidi ya mwenzake na kipi mtu unaweza kukitumia pekee yake.

Naomba kujulishwa.
Wewe upo barani afrika kuna kila vyakula Organic foods and Fruits bado unataka kula vyakula vya madawa ya virutubisho? huipendi afya yako nini? Achana na hivyo Virutubisho feki Tumia vyakula vya Asili na matunda yanayo toka mtini utakuwa na afya bora.
 
Nahisi moja itakua ya nguvu za kiume na nyingine ya nguvu za kike...🙄
 
Back
Top Bottom