Xo xo xo xo xo xo xo

Viol

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
21,962
2,000
ku kata ka ka ku
ku ke ki ki ka ga
ga gi gu kaka ki
ki kuku kakaka
Hongera!Umemaliza kujifuza lugha za nyani njoo uchukua ndizi.
 
sulphadoxine

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,261
1,195
Location yako na vitu ulivyo andika vinaendana.
 
F

fidodido

Member
Jan 5, 2011
85
95
kama huna cha kutuhabarisha si ukae kimya kuliko kuandika ujinga, ovyoooo, unachefua
 
NYENJENKURU

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
1,018
1,195
mmmmh Kweli ulanzi uliamka nao sikulauumu kabisa.Kamwene..
 
Jaguar

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,408
1,225
Umetoa rushwa ukaachiwa huru milembe!
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
22,597
2,000
Kule kwa akina niangusage
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
22,597
2,000
ku kata ka ka ku
ku ke ki ki ka ga
ga gi gu kaka ki
ki kuku kakaka
Hongera!Umemaliza kujifuza lugha za nyani njoo uchukua ndizi.
Mtani unakoelekea siko.
 
lwampel

lwampel

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
245
225
Wana jf. msimjaji sana huyu jamaa mimi ni jilani yangu tena namjua vizuri hua anaugonjwa wa akili.
 
Mshume Kiyate

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,769
1,195
Sio wewe ni viroba vya Vodka
 
Xuma

Xuma

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
683
225
Jamani nimecheka ukiweka na hizo comment zenu! nafikiri nitalala kwa amani leo
 
NG'ADA

NG'ADA

Senior Member
Sep 2, 2011
153
0
hajui hata maana ya xo xo xo..maana haihusiani na thread yenyewe...
 
MAMMAMIA

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,818
0
Zipo aina 99 za wazimu, moja hii.
Angalau imecheka kwa hizi comments.
 
Top Bottom