Xiomi Redmi note 12 4G Vs Samsung Galaxy note 9

Xiomi Redmi note 12 4G Vs Samsung Galaxy note 9

Kama unapata mpya kwa bei sawa chukua Samsung Galaxy Note 9
Ila kuwa makini, hizi Note 9 zilikuwa na matatizo mengi mfano kioo chake kupata green tint issue. Nimeona Note 9 kama tatu hivi zilizokumbwa na hili tatizo na mitandaoni nimeona case nyingi sana, sijui hata ngapi
Kama unataka current software nunua Redmi Note 12 na of course utapata features nyingi kwenye Redmi Note 12 kuliko Galaxy Note 9

Kama unaweza kudownload custom ROM basi download kwenye hiyo Galaxy Note 9 ili uweze kupata walau current software "Android 13" ingawa ni risky

Binafsi ningechukua Redmi Note 12 kwa sababu Galaxy Note 9 imepitwa na muda na bado ipo Android 8 huko. Najua itakuwa refurbished tu. Matatizo kibao
Note 9 ina version android 10,simu ipo vizuri sana ,speed ya kutosha,storage ya kutosha,mimi sio mpenzi wa picha lakini naona pia camera ni nzuri ,chasing kioo ni very delicate hakihitaji usumbufu ,kama vile kuweka simu na funguo kwenye mfuko au coins au kubinyi vinginevyo note 9 is the best of all times trust me
 
Samsung hata sound system ni kali mkuu. Camera balaa. Halafu usikariri simu. Nenda dukani, utakutana na simu kali mpya za Samsung OG tena bei chee. Samsung ukiwa na 400k to 600k una vuta kitu cha maana.
Tukizingatia kununua simu kwa brand kwa hizo bei ulizoweka hapo akisema leo akanunue simu za bei hiyo za Samsung ni sawa na kumwambia mtu anunue Nokia 3310 kwa ulimwengu wa leo ulivyojaa technology.

Xiaomi&Redmi wana simu nzuri sana kwa affordable price mimi toka 2018 nazitumia nilianza na Redmi Note 5 hadi leo nipo kwenye Poco sijawahi kukutana na changamoto yoyote.
 
Kununua iphone, Samsung, matoleo ya 2019, huo ni ulimbukeni, mahitaji Yako yatakupa simu sahihi, , Mimi natumia Tecno common 19, full unyama.
Nenda gsm arena ukacheki specification na kucompare simu mbili .

Sio kwa iphon labda samsung iphone ya 2019 bado inapata ios update tena mwaka huu na mwakani endelea kujipa moyo na hizo tecno zako
NB iphone inapata ios update kwa miaka 6
 
Sio kwa iphon labda samsung iphone ya 2019 bado inapata ios update tena mwaka huu na mwakani endelea kujipa moyo na hizo tecno zako
NB iphone inapata ios update kwa miaka 6
Mzee kwa Nini umenunua iphone, labda tuanzie hapo, mana nilichogundua wengi ni malimbukeni, like you
 
Mzee kwa Nini umenunua iphone, labda tuanzie hapo, mana nilichogundua wengi ni malimbukeni, like you

Umejiona sasa ulivyo punguani wewe hata siku moja vitz haiwez kuwa sawa na evogue utalalamika tu inakunywa sana mafuta na ndivyo zilivyo kwa simu pia haziwez kuwa sawa hata kimatumizi
 
Hivi mkuu Xiaomi kwa sasa nikitaka simu nzuri kwa budget ya 850K utanishauri nichukue simu gani?

Currently natumia Poco F3 ila nimeichoka nataka nibadilishe,naomba niambie ipi unahisi itaizidi hii.

Shukrani!
Chukua Xiaomi Poco F5 au Redmi Note 12 Turbo. Ndio simu ileile, tofauti ni kwamba Redmi Note 12 Turbo ipo China kwa sasa, ila Poco F5 ipo Global tayari. Kingine kwenye Redmi Note 12 Turbo unachagua storage ya 256GB, 512GB au 1TB ila Poco F5 ina 256GB tu

Ukinunua Poco F5/ Redmi Note 12 Turbo
*Utapata SoC ya Qualcomm Snapdragon 7+ Gen 2 ambayo ina performance asilimia 35 zaidi ya Poco F3
*Utapata longer battery life kuliko F3
*Utapata version mpya ya Bluetooth (v5.3)
*Utapata Optical Image Stabilization
*Utapata 67W fast charging ambayo inajaza simu kwa dakika 46 (Dakika 10 kabla ya Poco F3 kujaza)
*Utapata brighter display ingawa utofauti si mkubwa sana

Ikiwa unataka ku-upgrade pakubwa basi nunua Poco F5 Pro, ila sasa Poco F5 Pro ni milioni 1 kamili.

Ikiwa uta base sana kwenye kamera basi chukua Samsung Galaxy A54 ila tu ujue Poco F5 na Redmi Note 12 Turbo ndio simu bora zaidi za laki 8 na nusu kwa sasa.
Galaxy A54 itakufaa ikiwa sio mtu wa heavy games
 
Shukrani sana mkuu.

Nikipata wasaa nazi compare zote kupata chaguo sahihi,asante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom