Xiomi Redmi note 12 4G Vs Samsung Galaxy note 9

Xiomi Redmi note 12 4G Vs Samsung Galaxy note 9

Mkuu chukua redmi hapo.

Redmi note 12 vs galaxy note 9

1. Batery 5000 vs 4000
2.operatin syst 12 vs 8
3.line 2 vs line 1
4. Toleo la mwak jana vs miak 5 nyuma

IMG_3742.jpg

IMG_3741.jpg
 
Amefundisha nn hapo? Amechangia nn hoja yake?
Sasa katika maelezo yote huko juu umeshindwa kujua hoja ni ipi, sembuse kuitetea?
No wonder umeshindwa hata kufafanua utumbo ulioandika wewe mwenyewe kwa mikono yako
 
Redmi Note 12 ni chaguo zuri kama utaipata kwa 420,000/=
Bei ikishafika laki 5 tafuta kitu kingine. Maybe kama unazitaka sana hizo 6.5GB kwa mwezi
Kiongozi Kwa Bei ya 420k naipata wapi au maduka yapi kiongozi?
Na hicho kingine Kwa 500k ni kipi?
Nisaidie nipate mwanga kidogo kwenye chaguzi ya simu nzuri.
 
Hai
Vipi haikulimit katika matumizi ya line na ulichukulia maeneo ya wapi ?
-Inatumia line 2
-Haichagui line
-Ipo faster
-Updates za mara kwa mara
-Battery inakaa na charge muda mrefu 5000A
-Zinapatikana kwenye ofisi/maduka ya Tigo nadhani mikoa mikubwa kama Dar, Ars, Mwanza n.k.
 
Kiongozi Kwa Bei ya 420k naipata wapi au maduka yapi kiongozi?
Na hicho kingine Kwa 500k ni kipi?
Nisaidie nipate mwanga kidogo kwenye chaguzi ya simu nzuri.
Laki 4 na 20 ni Dar hapohapo, Zunguka Kariakoo kwenye maduka ya simu. Nimeona Jiji Tz sehemu nyingi ni around 450K

Pia kwa laki 5 ninaona Redmi Note 10 Pro ni chaguo zuri ingawa bado ina MIUI 12 na Android 12 ila IPO vizuri kuliko Redmi Note 12 kwenye sehemu nyingi. Hii Note 10 Pro ni complete package. Ila nunua Global version au Chinese version. Usinunue Indian version
 
Ahsante kiongozi
 
Sikuwa na idea kabisa kama naweza opt Redmi note 10pro.
Acha nizame mtandaoni kuangalia review yake
 
Kama unapata mpya kwa bei sawa chukua Samsung Galaxy Note 9
Ila kuwa makini, hizi Note 9 zilikuwa na matatizo mengi mfano kioo chake kupata green tint issue. Nimeona Note 9 kama tatu hivi zilizokumbwa na hili tatizo na mitandaoni nimeona case nyingi sana, sijui hata ngapi
Kama unataka current software nunua Redmi Note 12 na of course utapata features nyingi kwenye Redmi Note 12 kuliko Galaxy Note 9

Kama unaweza kudownload custom ROM basi download kwenye hiyo Galaxy Note 9 ili uweze kupata walau current software "Android 13" ingawa ni risky

Binafsi ningechukua Redmi Note 12 kwa sababu Galaxy Note 9 imepitwa na muda na bado ipo Android 8 huko. Najua itakuwa refurbished tu. Matatizo kibao
Mwambie ukweli tu , in detail
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom