Xiomi Redmi note 12 4G Vs Samsung Galaxy note 9

Mifano yako haiendani mkuu
Hebu relate na Samsung Galaxy Note 9 vs Redmi Note 12 tuone point yako
Tusirelate hapo alete simu ya samsung kwa price alizotaja hapa hapo atuambie ni toleo lipi na la mwaka gani . TUYAACHE MAHABA VITU VYA TECH HUENDA BY SPEC .kwa sasa note 9 atapata refurb simu imsumbue tu aje kuanza lia lia asije na series zake za a hapo manake ni almost 54 .54s ndio zina compete na hio redmi na zote ziko abave jiwe saba .Mhusika tunakungoja
 
Samsung wana simu za model za As za 450k. Toleo 2022, 2023. Gb 128 kali. Samsung ulinganishe na Remdi? Redmi hata spare (vioo) tu issue. Naongea coz nime zitumia Redmi. Na samsung.
 
Tusirelate hapo alete simu ya samsung kwa price alizotaja hapa hapo atuambie ni toleo lipi na la mwaka gani . TUYAACHE MAHABA VITU VYA TECH HUENDA BY SPEC .kwa sasa note 9 atapata refurb simu imsumbue tu aje kuanza lia lia asije na series zake za a hapo manake ni almost 54 .54s ndio zina compete na hio redmi na zote ziko abave jiwe saba .Mhusika tunakungoja
Anaandika pumba halafu ukimhoji anakasirika na kukimbia
Watu wengine wana stress za maisha wanakuja kuzileta huku Jamii Forums
 
Mbona una mambo ya kitoto hivi
Sasa ulitegemea uje kucomment kwenye nyuzi za tech halafu watu wasikuhoji. Wewe ni nani mpaka maoni yako yasihojiwe?
Relate hiyo mifano yako, hatuko hapa kupotoshana
Kazi yako ni quote wengine huna mchango wowote. Japo una jidai mjuaji. Haya lete maoni yako
 
Umeshindwa kutaja kuwa anaweza kupata Samsung Galaxy A14 5G kwa laki nne na nusu, matokeo yake umetaja ukubwa wa storage tu
Then mtu akihoji maoni yako unamletea majibu ya kejeli
 
Una zijua? Unajua specifications zake zote? Maoni huna. Kazi kurukia hoja bila suggestion. Hujui simu halafu unabisha...eti itaje. Kazunguke uibiwe huko.
Sasa unataka conversation iendelee vipi ikiwa we mwenyewe umekataa kufafanua huo ushuzi ulioandika hapo juu
Nilitaka ufafanue then mambo mengine yanafuatia, badala ya kufafanua naona unaanza kunishambulia as if unajuana na kila mtu hapa JF
 
Umeshindwa kutaja kuwa anaweza kupata Samsung Galaxy A14 5G kwa laki nne na nusu, matokeo yake umetaja ukubwa wa storage tu
Then mtu akihoji maoni yako unamletea majibu ya kejeli
Funga mjadala hajui hata pa kupata spare ya simu sembuse simu husika? Ananunua kariakoo za kulenga wakimwambia mpya anaamini . MWAMBIE ASOGEE HATA MJINI PINDOU HAPO AU TAOBAO AONE JINSI WACHINA WANAVYOUSEMA UKWELI KWA SIMU REFURB ILHALI KARIAKOO KAAMBIWA MPYA
 
Sasa unataka conversation iendelee vipi ikiwa we mwenyewe umekataa kufafanua huo ushuzi ulioandika hapo juu
Nilitaka ufafanue then mambo mwingine yanafuatia, badala ya kufafanua naona unaanza kunishambulia as if unajuana na kila mtu hapa JF
Msaidie mwenye mada. Siyo kujidai mjuaji kwenye comment za wengine
 
"Sasa umeandika nn mjuaji? Na umemsaidiaje mjumbe ndg mjuaji? Hivi ww ukanunue gari ya Masoud kipanya na mwenzio Toyota. Mlingane? Utakuwa chizi."

Hayo maneno si ndio ulivyoyaandika huko juu? Hebu soma ulichokiandika tena, nimecopy ili uone utumbo ulioandika na kushindwa kuutetea
 
Funga mjadala hajui hata pa kupata spare ya simu sembuse simu husika? Ananunua kariakoo za kulenga wakimwambia mpya anaamini . MWAMBIE ASOGEE HATA MJINI PINDOU HAPO AU TAOBAO AONE JINSI WACHINA WANAVYOUSEMA UKWELI KWA SIMU REFURB ILHALI KARIAKOO KAAMBIWA MPYA
Halafu ukimwambia ukweli anakuita mjuaji
Watu wengine bhana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom