Xiomi Redmi note 12 4G Vs Samsung Galaxy note 9

codifier

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Posts
438
Reaction score
872
Wadau wa JF nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Naomba ushauri wa kitaalamu na uzoefu wenu, nichukue simu ipi kati ya hizo mbili hapo juu Kwa kutazama
Performance, quality and technology.

Zote ni 128gb Memory.

Karibu Kwa maoni na ushauri mana nimechoka kutumia Infinix.

Nimeandaa cash 500k.
 
Kama unapata mpya kwa bei sawa chukua Samsung Galaxy Note 9
Ila kuwa makini, hizi Note 9 zilikuwa na matatizo mengi mfano kioo chake kupata green tint issue. Nimeona Note 9 kama tatu hivi zilizokumbwa na hili tatizo na mitandaoni nimeona case nyingi sana, sijui hata ngapi
Kama unataka current software nunua Redmi Note 12 na of course utapata features nyingi kwenye Redmi Note 12 kuliko Galaxy Note 9

Kama unaweza kudownload custom ROM basi download kwenye hiyo Galaxy Note 9 ili uweze kupata walau current software "Android 13" ingawa ni risky

Binafsi ningechukua Redmi Note 12 kwa sababu Galaxy Note 9 imepitwa na muda na bado ipo Android 8 huko. Najua itakuwa refurbished tu. Matatizo kibao
 
Ahsante kiongozi Kwa ushauri mzuri, nitazingatia sana ushauri wako
 
Samsung hata sound system ni kali mkuu. Camera balaa. Halafu usikariri simu. Nenda dukani, utakutana na simu kali mpya za Samsung OG tena bei chee. Samsung ukiwa na 400k to 600k una vuta kitu cha maana.
Ahsante kiongozi Kwa muongozo wako
 
Hao wanakupanga tu hapo juu, Chukua note 12 wewe utakuja kunambia, yani kuna option ya sim mpya ukachukue refurbished tena ya Samsung, hebu tumia akili mkuu.
Kiongozi nimekusoma, hapa acha ninyooshe goti niende tigo shop nikavute hiyo note 12 Kwa tsh. 510k na unapata 6.5gb data monthly in a year.
 
Wadau wa JF nawasalimu Kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

Naomba ushauri wa kitaalamu na uzoefu wenu, nichukue simu ipi kati ya hizo mbili hapo juu Kwa kutazama
Performance, quality and technology.

Zote ni 128gb Memory.

Karibu Kwa maoni na ushauri mana nimechoka kutumia Infinix.

Nimeandaa cash 500k.
Kama juu ulivyoshauriwa kama huna uzoefu na simu nunu Note 12, na bei elekezi ni Around laki 4.
 
Samsung hata sound system ni kali mkuu. Camera balaa. Halafu usikariri simu. Nenda dukani, utakutana na simu kali mpya za Samsung OG tena bei chee. Samsung ukiwa na 400k to 600k una vuta kitu cha maana.
Ifike muda tu muwe mnawaachia wazoefu wa simu watusaidie kuchabua itoshe kusema hivi.Maneno yako ni Uwongoooo
 
Kiongozi nimekusoma, hapa acha ninyooshe goti niende tigo shop nikavute hiyo note 12 Kwa tsh. 510k na unapata 6.5gb data monthly in a year.
Hio hela chukua ungewez ile note 12 pro yenye global rom . Advantage yake ungeinjoi zaidi pure miui kwa 99% na chaja inayojaza zaidi simu kwa ubaraka above 33 watt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom