Xenophobia or Afrophobia?: Maoni ya Rais mstaafu wa SA, Thabo Mbeki

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,314
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, mwaka 2017 aliwahi kusema kinachoendelea katika nchi ya Afrika Kusini sio mashambulizi dhidi ya wageni kama inavyoelezwa bali ni dhidi ya wahalifu na hakuna mashambulizi dhidi ya wafanyakazi halali wa ki-Nigeria au Wafanyabiasha.


 
Back
Top Bottom