Duzente Siqwente
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 265
- 60
Happy bday mkuu party wapi....
hhahaha shemeji yangu Zion Daughter....unafahamu movie ya 'coming soon'? ndo ipo kwenye hatua za mwisho za production. leo unavaa nguo gani kwen besidei? lol

leo ntatupia short pensi ya kitenge,kijikoti cha kitenge pia cha uchokozi juu,ndani ntakuwa na top moja kali,chini nitakuwa na simple ya purple na kajicheni flani hivi.kichwani ni dreads fupi kiasi,make up kwa mbaali na wallet ya kitenge pia!ahahhahahhahha Kaizer bia haitashuka na Asprin ndo atakuwa anahudumia meza yangu mwanzo mwisho wala hatabanduka hapo anajua mwalimu huwa anapenda kufundisha vipindi vya jioni!ahahahhahhahhahhhhahah wapi gfsonwin tugawane darasa manake nahs kama litanilemea vile dk 80 si mchezo ati,af double weh!
Infact Asprin awe assistant wangu kwa ajili ya kuhakikisha taste tofauti tofauti zipo, Erickb52 awe assistant kwenye vinywaji laini, BAGAH awe kwenye kitengo cha vinywaji vikali (haruhusiwi kuonja). Kaizer kazi yake kubwa iwe ni kuhakikisha hakuna mtu anaiba (wanywaji tunaita kuchukua) chupa.
Mimi mwenyewe the man himself platozoom ndiye nakuwa overall supervisor wa vinywaji ... Smile atahakikisha meza yangu haikaukiwi vinywaji kwa ajili ya kurifresh mind kwa uzito wa kazi. Madame B utakuwa karibu yangu as pasono sekretari.
Mimi Platozoom nikiwa na akili timamu nakubali jukumu hili zito mbele yangu.
Young Master nimekupigia debe aisee kuna wadada wanataka mwanaume wa kwafokea fokea jikoni wakiongozwa na Madame B unoanaje? Boflo amepita bila kupingwa hahahah
hata kwa limbwata nitampata tu....hahahahahahaha!!!!
Boflo mwenyewe hata haonekani.
Boflo mwenyewe hata haonekani.
niko Madame,hiyo kazi naitaka.....