>x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

Happy birthday Mtambuzi a.k.a Baba Ngina..Mungu akujaalie sana na akuongezee wingi wa siku. Na kwa sababu dadaangu AshaDii ameamua tukugongee bonge la sherehe. Na mimi kwa dhati na heshima kubwa nakubali uteuzi. Kama ambavyo kwenye harusi ya pacha wangu snowhite na shughuli ya kipenzi changu sakapal niliwaalika Savage Garden, Westlife na Back Street Boys. I hope this time ntafanya makubwa zaidi...

Ujumbe wangu kwako ni huu :ACTING COOL WILL ONLY MAKE YOU LOOK STUPID, BEING YOURSELF MAKES U UNIQUE, BEING KIND AND POLITE MAKES U MATURE AND BEING HELPFUL MAKES YOU A SPECIAL SPERSON!!!
 
Last edited by a moderator:
miss u a lot my brother
njoo tu
shakebutt.gif

Miss u too dear Smile
Aise nakuja sana tena kwenye pub ya Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
HAppy Birthday daktari Mtambuzi...sijui ni mvua ngapi ila wanasemaga life starts at forty...kwa sisi tulio kwen 50s sijui ndo tupo kwen climax?

sweetlo gfsonwin upo wapi leo mbona ndani sikuoni?

Shemeji cacico come zis way please halafu kuna kitu ntakwambia pande zileeeee...ila leo hapa kwa Mtambuzi ni kula kunywa hadi kieleweke

Kwenye vinywaji ntaomba vijana kama kina BAGAH, platozoom, Judgement na Erickb52 wanisaidie.

Kuna 'wazee maarufu" kama Fidel80, Teamo, RR, TIMING, Bigirita, The Finest, hao watapewa sehemu ya kukaa na kula kilaji from morning huku wanaburudishwa na Smile (leo kaamka vizuri naona)

Happy birthday to you again mchambuzi Mtambuzi!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Mtambuzi a.k.a Baba Ngina..Mungu akujaalie sana na akuongezee wingi wa siku. Na kwa sababu dadaangu AshaDii ameamua tukugongee bonge la sherehe. Na mimi kwa dhati na heshima kubwa nakubali uteuzi. Kama ambavyo kwenye harusi ya pacha wangu snowhite na shughuli ya kipenzi changu sakapal niliwaalika Savage Garden, Westlife na Back Street Boys. I hope this time ntafanya makubwa zaidi...

Ujumbe wangu kwako ni huu :ACTING COOL WILL ONLY MAKE YOU LOOK STUPID, BEING YOURSELF MAKES U UNIQUE, BEING KIND AND POLITE MAKES U MATURE AND BEING HELPFUL MAKES YOU A SPECIAL SPERSON!!!

mkuu labda ni uzee lakini hapo kwa sakapal pamenipita...lini hiyo umemeliza mambo! Tukuongezee mwingine? hahahah
 
Last edited by a moderator:
Kaka Mr Rockyza A City?..long tyme no see you braza..
Usisahau kuja na kitu cha huko Arachuga mkuu wangu..

Mkuu SnowBall salama kabisa mkuu
mambo yamekuwa mengi sana aise ila uzima upo na tunapambana kuyaweka mambo sawa
Hilo halina ubishi mkuu nitakuja nacho bana at least birthday ya Mtambuzi iwe bora pia
Hope uko salama kabisa mkuu SnowBall
 
Last edited by a moderator:
Mkuu SnowBall salama kabisa mkuu
mambo yamekuwa mengi sana aise ila uzima upo na tunapambana kuyaweka mambo sawa
Hilo halina ubishi mkuu nitakuja nacho bana at least birthday ya Mtambuzi iwe bora pia
Hope uko salama kabisa mkuu SnowBall

Mkuu mie niko poa bin fresh tayari kwa tafrija la kumpongeza mzee wa Ununio Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
HAppy Birthday daktari Mtambuzi...sijui ni mvua ngapi ila wanasemaga life starts at forty...kwa sisi tulio kwen 50s sijui ndo tupo kwen climax?

sweetlo gfsonwin upo wapi leo mbona ndani sikuoni?

Shemeji cacico come zis way please halafu kuna kitu ntakwambia pande zileeeee...ila leo hapa kwa Mtambuzi ni kula kunywa hadi kieleweke

Kwenye vinywaji ntaomba vijana kama kina BAGAH, platozoom, Judgement na Erickb52 wanisaidie.

Kuna 'wazee maarufu" kama Fidel80, Teamo, RR, TIMING, Bigirita, The Finest, hao watapewa sehemu ya kukaa na kula kilaji from morning huku wanaburudishwa na Smile (leo kaamka vizuri naona)

Happy birthday to you again mchambuzi Mtambuzi!

Hii kazi ya wewe kupanga watu wa vinywaji nimeshamueleza kabisa AshaDii kwamba haikubaliki kwa viwango vyovyote vile...............Watu tuna CV zetu murua kwenye hivyo vitengo halafu wanapewa watu wengine kabisa!!!!

Nasema leo patachimbika!
 
Last edited by a moderator:
mkuu labda ni uzee lakini hapo kwa sakapal pamenipita...lini hiyo umemeliza mambo! Tukuongezee mwingine? hahahah
Kaizer bwana..hehehehe
Wakati ule sakapal mgeni mgeni bado hata hajajua kama MMU kuna magwiji ka' akina @Aspirn et al nkamwahi..lol
Ila kama hutajali mnaweza kuniongeza mwingine mkuu kagari kangu kana turbo bana kanahimili njia korofi..
 
Last edited by a moderator:
Boflo na Young_master Madame B unaonaje apo? LOL (apa nimempora wife AshaDii majukumu kidogo)

Labda Boflo,
Young Master hapana jamani,
huyu sina imani nae kabisa,alishaapa kuwa hatakatiza Mwanamke mbele yake pasipo kumnyakua.
Majukumu kusaidiana.

Hata hvyo nina mashaka huko Pub itakuwaje manake mziki nimeusikia kama utakuwa ma Dini.
 
Last edited by a moderator:
AshaDii kunipanga na Erickb52 kwenye kamati ni kama umeiua maana atasepa na pesa zote kwenye ulevi wake Mtambuzi heri ya siku yako ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu ya furaha na amani na upate heri ya kuishi maisha marefu pia
Hongera sana mkuu

hahaha! Asishike yeye pesa... Huyo dawa yake ndogo tu! Muite mkuu wa Ulinzi Kongosho ama msaidizi wake Rejao ndio kiboko yake!

Hapo kwenye Maakuli kama tungeongezewa mwanaume mmoja ili awe anatufokeafokea jikoni pindi tunapotaka kudokoa Nyama au Kipaja cha kuku AshaDii

hahaha! Basi chagua watatu kati ya EMT, Young Master, Ndahani, Kiranga, Bigirita or jmushi1

Huu ni upendeleo wa wazi kabisa na haikubaliki kwa viwango vyovyote vile........Kila mtu hapa Jukwaani anajua eksipiriensi yangu kwenye masuala ya vinywaji .......haiwezekani mtu atoke from no wea aje apate nafasi adhim kama hii na wakongwe tupo kisa muandaaji wa sherehe ana pasono interesti na mchaguliwaji.

Narudia haiwezekani na patachimbika period!

Taratiiiibu jamani Patozoom... Haya mambo yanaenda kwa maelewano.. au awe Asprin ndio utakubali?

mkuu labda ni uzee lakini hapo kwa sakapal pamenipita...lini hiyo umemeliza mambo! Tukuongezee mwingine? hahahah

Hili hata mimi jipya kabisaaa.... Salamu basi kwa Sakapal with love... Namuonea huruma jamiif alikuwa so in love na wewe! Lol

Smile sijamuona gfsonwin... Hivi umenionea wapi huyu mdogo wangu? :biggrin:
 
Last edited by a moderator:
Hii kazi ya wewe kupanga watu wa vinywaji nimeshamueleza kabisa AshaDii kwamba haikubaliki kwa viwango vyovyote vile...............Watu tuna CV zetu murua kwenye hivyo vitengo halafu wanapewa watu wengine kabisa!!!!

Nasema leo patachimbika!

asa platozoom cv yako inasomeka kuwa ikifika saa nane wewe tayari bwwwwwiiiii....bora tukufiche fiche usije ukaharibu sherehe ya Mtambuzi bana
 
Last edited by a moderator:
Taratiiiibu jamani Patozoom... Haya mambo yanaenda kwa maelewano.. au awe Asprin ndio utakubali? :biggrin:

Infact Asprin awe assistant wangu kwa ajili ya kuhakikisha taste tofauti tofauti zipo, Erickb52 awe assistant kwenye vinywaji laini, BAGAH awe kwenye kitengo cha vinywaji vikali (haruhusiwi kuonja). Kaizer kazi yake kubwa iwe ni kuhakikisha hakuna mtu anaiba (wanywaji tunaita kuchukua) chupa.

Mimi mwenyewe the man himself platozoom ndiye nakuwa overall supervisor wa vinywaji ... Smile atahakikisha meza yangu haikaukiwi vinywaji kwa ajili ya kurifresh mind kwa uzito wa kazi. Madame B utakuwa karibu yangu as pasono sekretari.

Mimi Platozoom nikiwa na akili timamu nakubali jukumu hili zito mbele yangu.
 
Last edited by a moderator:
HAppy Birthday daktari Mtambuzi...sijui ni mvua ngapi ila wanasemaga life starts at forty...kwa sisi tulio kwen 50s sijui ndo tupo kwen climax?

sweetlo gfsonwin upo wapi leo mbona ndani sikuoni?

Shemeji cacico come zis way please halafu kuna kitu ntakwambia pande zileeeee...ila leo hapa kwa Mtambuzi ni kula kunywa hadi kieleweke

Kwenye vinywaji ntaomba vijana kama kina BAGAH, platozoom, Judgement na Erickb52 wanisaidie.

Kuna 'wazee maarufu" kama Fidel80, Teamo, @RR, TIMING, Bigirita, The Finest, hao watapewa sehemu ya kukaa na kula kilaji from morning huku wanaburudishwa na Smile (leo kaamka vizuri naona)

Happy birthday to you again mchambuzi Mtambuzi!
nipo my shemeji, namkandakanda hubby na kumbembeleza tuje, kaiba mke wa mtu jamvini, anaogopa kujitokeza hapa, lol!
 
Back
Top Bottom