X wangu kaniambia nimemroga!

X wangu kaniambia nimemroga!

Mkuu Cyberteq!, you have the powers!.

Nenda kanisome HAPA ujue how to put them in a good use!.

Pasco

Hahaa, siamini hayo mkuu, mimi naamini kila tukio ni series ya complex action and reactions zinazosababishwa na mtu, watu, mazingira, muda and other factors.
anyway nitaingia nikusome mkuu, mimi napenda kufahamu mambo mengi na kupima kwa fikra huru.
 
Mmh pole umenikumbusha mbali Sana.
Nakumbuka nilikuwa na bf those years back. Nilimpenda kuliko hata nafsi yangu. Basi imeendaa akawa na mtu pembeni bila mi kujua. Kuna siku ikatokea huyo dada ajanitumia sms ya kunikashfu sana. Nikamwambia jamaa akabisha kuwa na uhusiano nae na hapo relationship ilikuwa imeshakuwa official kwao na kwetu.. nilikuwa nalia day and night. Nimejibembelezesha kwa jamaa wapi... baada ya miezi kibao ya kuumia nikasema enough is enough nikakata mawasiliano but kwa kumwambia maneno mabaya Sana like you will never be happy...hutafanikiwa etc etc.

Mmmmh baada ya two years nikasikia jamaa yupo vibaya mno kiuchumi...pia hana relationship stable kabisa.

Kuna siku bahati mbaya Sana si nikakutana nae bhana mahali....mmh nilichoka kabisa maana akaniambia kila anachofanya hajafanikiwa.La ajabu eti anasema eti ooh naomba ukubali nikuoe siwezi pata mtu kama ww.

I was like are you a nut case!!!
Sijaeleza yote asije akawa yupo humu akajua buure but no mengi na mabaya alinifanyia....

Em malizia hyo stori yako TATIANA af fanya umsamehe mshkaji mana no one is perfect, si hatujui ww ulimfanyia nn mpk akafikia hatua ya kukucheat, bt shit happen sometimez!
 
Last edited by a moderator:
Pasco ngoja niitafute nisome nijifunze kitu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi unajua maneno yanaumba? Hivi unajua shetani anatumia maneno ya binadamu kupitishia laana zake? Inawezekana havihusiani but inawezekana pia laana uliyoapiza kwake ndio inamuathiri...
Nakushauri tu ufanye utaratibu wa kuifuta hiyo laana kwa mwenzio. .. msaidie kwa hilo

kwa mara ya kwanza..
 
Duuu.Yakupasa ujifunze kukubali kutokubaliana na wenye mtizamo tofauti.Kwa maneno uliyoandika u seem to be the weakest in mind.

Wewe Naomba tuheshimiane sawa? We umeelewa nilichoandika au umenivamia tu?
 
Ennie wakati mwingine tunaropoka baada ya kufikwa na maji shingoni unakuwa unaropoka ukijua kuwa itakupa relief moyoni.

Yaan ndo unanifanyia hivyo poa tuone sasa hamna noma.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli. But sijui kwanin kwangu inakuwa ngumu kumsamehe toka moyoni...nimeshindwa kabisa.

Pole TATIANA,ila unapaswa kumsamehe ili uwe na amani.
Maisha ni safari ndefu na utakutana na mengi safarini,ukishindwa kumsamehe kila atakayekuumiza utayafanya maisha yako kuwa magumu sana.
Msamehe tu mamy.
 
Last edited by a moderator:
Pole TATIANA,ila unapaswa kumsamehe ili uwe na amani.
Maisha ni safari ndefu na utakutana na mengi safarini,ukishindwa kumsamehe kila atakayekuumiza utayafanya maisha yako kuwa magumu sana.
Msamehe tu mamy.

Thanks dear...I tried..
I prayed but it has been so hard...Yaani whenever I remember him I feel angrish. I wish I could even tell nusu ya aliyonitenda but I can't.

Anyway am moving on...maybe I will be able to forgive and forget one day
 
Last edited by a moderator:
Huyu alikuwa mchumba wangu ambaye nilimpenda sana na tulikubaliana kuoana. Nilipatwa na matatizo njiani mwenzangu akanambia anaolewa na mtu mwingine (tulikuwa tunaishi mikoa tofauti). Niliumia sana na kutokana na hasira nikamwambia `Tutaona kama utaishi na huyo mwanaume.' Toka hapo sijawahi kuwasiliana naye tena!

Siku za karibuni alinitumia message kwamba anaomba kuongea na mimi, nikamtajia muda ambao ntakuwa free.
Muda huo akanipigia simu na kuanza kunilaumu `@nyalotsi kwanini umenifanyia hivi?'
Nikamuuliza, nimfenyaje?(huku nikiwa na mshangao)
`Umeniroga kila nikipata mimba inatoka, tafadhali sana nisamehe kama nilikukosea! Familia yangu itavurugika.'

Nilikata simu na kuanza kutafakari mambo mengi sana. Ina maana huyu dada kaniona mi mchawi? Mbona hata mizizi ya dawa za kawaida tu siifahamu? Hii laana gani tena? Baadaye nikakumbuka niliwahi kumtishia kwamba hataishi kwa amani na mumewe. Nikampigia simu na kumhakikishia kwamba siwezi kufanya kitu hiyo na wala sio muumini wa mambo hayo.
Nikamshauri pia waende na mumewe hospitali kufanyiwa uchunguzi wa kiafya na wataalamu.!

Kweli duniani kuna mambo!!
ts true, si kumloga but maneno huumba na kama bado huja muachia rohon mwako atazid safa, just forgive her bwana.
 
Thanks dear...I tried..
I prayed but it has been so hard...Yaani whenever I remember him I feel angrish. I wish I could even tell nusu ya aliyonitenda but I can't.

Anyway am moving on...maybe I will be able to forgive and forget one day[/QUOTE]

Hilo ndio la msingi,move on.
 
Thanks dear...I tried..
I prayed but it has been so hard...Yaani whenever I remember him I feel angrish. I wish I could even tell nusu ya aliyonitenda but I can't.

Anyway am moving on...maybe I will be able to forgive and forget one day[/QUOTE]

Hilo ndio la msingi,move on.

Thanks thanks...its life..
 
Back
Top Bottom